Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Kwa mujibu wa dini na imani kuna wengine walifunga siku arobaini na wa dhehebu jingine walifunga siku thelathini zimekamilika wiki iliyopita hapakuwa na mbwembwe wala kutishia wasiofunga wasile mchana. Mfungo umeisha salama kwa amani hakuna aliyekerwa kwa funga hiyo
 
Tuache sifa, Vitu vingine ni kuomba visikukute au kukupata. Fikiria wamekuchapa kisha wakati unatembeza mkono unaojigamba nao mara umemuua mtu, je wakati unaomba hilo litokee uwatembezee kichapo umefikiria madhara mengine yanayoweza kukukuta?
Simple utetezi tu Nilikuwa napambana nilipovamiwa na watu wasiojulikana baada ya kunivamia from nowhere“ then waendesha mashtaka watafafanua ni sheria ipi Tanzania hii inaruhusu kikundi cha watu kumkamata mtu mzima na ndevu zake wasiyemjua akitumia hela zake halali kula anachokitaka tena hadharani jua la utosi bila kulazimisha kumlisha mtu na kuanza kumtandika viboko kama mtoto mdogo!!!
 
Kwa mujibu wa dini na imani kuna wengine walifunga siku arobaini na wa dhehebu jingine walifunga siku thelathini zimekamilika wiki iliyopita hapakuwa na mbwembwe wala kutishia wasiofunga wasile mchana. Mfungo umeisha salama kwa amani hakuna aliyekerwa kwa funga hiyo
Zile ni tamaduni zao hakuna sehemu mtu analazimishwa kufunga wala kufuata dini fulani,halafu hakuna mbwembwe ni nyie ndio mnaukuza ..Mbona waislamu hawajui kama nyie mnafunga?

Ni vizuri ukatulia kwenu !​
 
Back
Top Bottom