Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Mimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo tangaza tena...nitakua na chupa yangu moja ya whiskey na wine ndani kila baada ya mlo wa ucku nitakunywa a glass of wine/whiskey na sio chupa la whiskey kama ilivyo sasa na kipindi cha nyuma...

Maisha yafaa nini bila pombe?? Pombe ni uhai

Najua ni ngumu ila nitajitahidi kuyatekeleza maamuzi yangu haya ya kijinga kabisa kuwahi kufanya toka nizaliwe

Happy new year wakuu
huu uzi umeniacha njiapanda jamaa umeacha au umepunguza
 
Karibu inawezekana ukiamua,ila hapo kwenye glass ya whisky bado naona ni nyingi sana,fanya half a glass...
 
Back
Top Bottom