mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kweli aisee,bora hata Voda wanakupa Tizo Points.Hamtuthamini wateja wenu...miaka 20 hata tunzo sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee,bora hata Voda wanakupa Tizo Points.Hamtuthamini wateja wenu...miaka 20 hata tunzo sina
Umenitafakarisha SANA 😀Hamtuthamini wateja wenu...miaka 20 hata tunzo sina
WajitafakariKweli aisee,bora hata Voda wanakupa Tizo Points.
Wakibadilika nishtue nirud kundiniUmenitafakarisha SANA 😀
Everyday is Saturday................................😎
huu uzi umeniacha njiapanda jamaa umeacha au umepunguzaMimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo tangaza tena...nitakua na chupa yangu moja ya whiskey na wine ndani kila baada ya mlo wa ucku nitakunywa a glass of wine/whiskey na sio chupa la whiskey kama ilivyo sasa na kipindi cha nyuma...
Maisha yafaa nini bila pombe?? Pombe ni uhai
Najua ni ngumu ila nitajitahidi kuyatekeleza maamuzi yangu haya ya kijinga kabisa kuwahi kufanya toka nizaliwe
Happy new year wakuu
Unaguna nin bebe?
Zitafika day 365 mkuuDay 3
Nimeacha aisee...huwez kunywa bia 3 ukasema unatumia pombehuu uzi umeniacha njiapanda jamaa umeacha au umepunguza
Karibu inawezekana ukiamua,ila hapo kwenye glass ya whisky bado naona ni nyingi sana,fanya half a glass...Mimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo tangaza tena...nitakua na chupa yangu moja ya whiskey na wine ndani kila baada ya mlo wa ucku nitakunywa a glass of wine/whiskey na sio chupa la whiskey kama ilivyo sasa na kipindi cha nyuma...
Maisha yafaa nini bila pombe?? Pombe ni uhai
Najua ni ngumu ila nitajitahidi kuyatekeleza maamuzi yangu haya ya kijinga kabisa kuwahi kufanya toka nizaliwe
Happy new year wakuu
Nawaza tu hapa kama vitawezekana kwakoUnaguna nin bebe?
Zitafika day 365 mkuu
Zitafika day 365 mkuu
Zitafika day 365 mkuu
I wish mkuu...maana ni mtihani
Vyapombe wawili wakipeana matumaini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Amen