Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

Afadhali umpigie mbuzi guitar kuliko kujadili siasa za kiafrika.
Na high school education yangu naweza nikakupa madini ya kueleweka kuliko hawa wenye university degrees zao, ni bure kabisa. Watakwambia mama anaupiga mwingi na wengineo wanasema CCM ndio tatizo la nchi hii, na hii sio kwa Tanzania tu, nchi zote Afrika hali ndio hiyo.
Walikwenda shule ili wapate mshahara na nafasi za kuiba lakini bado hawajaelimika
Kwahiyo tuacheni tushabikie football kwasababu pamoja miaka yote ya kukaa darasani na vyeti vyenu hamjui chanzo cha matatizo ya kiuchumi ya bara letu la Afrika ni nini. Umbwa nyie
 
Afadhali umpigie mbuzi guitar kuliko kujadili siasa za kiafrika.
Na high school education yangu naweza nikakupa madini ya kueleweka kuliko hawa wenye university degrees zao, ni bure kabisa. Watakwambia mama anaupiga mwingi na wengineo wanasema CCM ndio tatizo la nchi hii, na hii sio kwa Tanzania tu, nchi zote Afrika hali ndio hiyo.
Walikwenda shule ili wapate mshahara na nafasi za kuiba lakini bado hawajaelimika
Kwahiyo tuacheni tushabikie football kwasababu pamoja miaka yote ya kukaa darasani na vyeti vyenu hamjui chanzo cha matatizo ya kiuchumi la bara letu la Afrika ni nini. Umbwa nyie
Acha hasira Mzee wangu
Leta mawazo yako
 
Nimeamka kuhamia jukwaa la siasa
Sasa
Napumzika ubishi wa Simba na Yanga
Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa
Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa
Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu
Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu
Mijadala ya mpira haileti wali kuku mezani
Tuamke Watanganyika tumelala sana
Wale wadau wa nyuzi zangu tukutane jukwaa la siasa
Huko nitamwaga nondo
Kwa wale tuliopishana kauli tusameheane
Asanteni Watanganyika wenzagu
Mwisho
Yanga bingwa
Mwenyewe mda si mrefu nitakuwa mchambuzi wa maswala ya middle east.
 
Acha hasira Mzee wangu
Leta mawazo yako

Sina makasiriko, ni style yangu ya kuongea tu na hapo chini ni more ironic kuliko hasira.
Hapa ni jukwaa la michezo lakini leo niko na muda wa kutoa la moyoni, ngoja niende kwenye thread ambayo inafaa kwa mjadala huu nitoe mawazo yangu. Ntakutag uniambie kama I'm wrong or not.
 
Okay tuko pamoja Mtanganyika mwenzangu
 
Nimeamka kuhamia jukwaa la siasa
Sasa
Napumzika ubishi wa Simba na Yanga
Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa
Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa
Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu
Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu
Mijadala ya mpira haileti wali kuku mezani
Tuamke Watanganyika tumelala sana
Wale wadau wa nyuzi zangu tukutane jukwaa la siasa
Huko nitamwaga nondo
Kwa wale tuliopishana kauli tusameheane
Asanteni Watanganyika wenzagu
Mwisho
Yanga bingwa
Toa kwanza huo mwiko huko nyuma ndio uhame
 
Kalinde kura mkuu.
 
Daah nitamtania nani mimi jamani uwiiiiii...
Screenshot_20241127-193521_Instagram.jpg

BM anakupa moyo unaweza kuja Simba
 
Back
Top Bottom