Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Utakuja tu, kusheherekea ushindi wa wananchi.Siji huko
Njoo siasani
Yanga Bingwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuja tu, kusheherekea ushindi wa wananchi.Siji huko
Njoo siasani
Nimeamka kuhamia jukwaa la siasa
Sasa
Napumzika ubishi wa Simba na Yanga
Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa
Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa
Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu
Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu
Mijadala ya mpira haileti wali kuku mezani
Tuamke Watanganyika tumelala sana
Wale wadau wa nyuzi zangu tukutane jukwaa la siasa
Huko nitamwaga nondo
Kwa wale tuliopishana kauli tusameheane
Asanteni Watanganyika wenzagu
Mwisho
Yanga bingwa