Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

Baki peke yako
Na lijukwaa lako
Na makolo wenzako
Sisi hili jukwaa hatulataki
Nyuzi za hili jukwaa zinakera😆
Tusema mzunguko wa pili tuwapige 5 tutambe tena
Kwendraa huko nitakua nakufata huko huko Jukwa la siasa...hahaha
 
Kama hoja za kusifia yanga mbovu hapa jukwaani ndo unazitoa je huko jukwaa la siasa unaweza kujadili bajeti ya nchi?
 
Mngelijua walivyojipanga kwenye huu uchaguzi na WA mwakani wapinzani wangewaachia Tu. Wengi watapotezwa waziache familia zao. Mgombea wao WA Urais atashinda 90 plus asilimia😔😔😔
Wajitoe tu.
 
Ni zile goli mbili moja la colibaly ndio yanakuhamisha ila tunaheshimu maamuzi yako!
 
Yanga ikishinda mechi tatu mfululizo, utarudi hapa kwenye michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…