Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Nnja na maisha ya kujipendekeza ndivyo vinavyo wapeleka vijana Wengi CCM
 
Huyu ni mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo tangu kitambo,alichokifanya leo ni kutangaza kwa kiapo kuwa atafia chadema. Hongera sana mkuu me nimekuelewa!
 
Huna aibu kuisifia CDM? Watu vigeugeu sana. Mara Fulani fisadi hasafishiki Mara hapana ni Malaika! Ridiculous!!
 
Siku wakishika dola na ukakutana nao ktk uso wa tofauti ndipo utakapojua kujiapiza siyo sawa.usicheze na wanasiasa,sema tu hv.kama ni mapenzi ya MUNGU juu ya watu hao na iwe..kwisha
 
We naye umechelewa. Mi nilidhani ni lizaboni pekee dye bado CCM.
 
Eti tajiri..vijana wa ufipa mnayo matatizo...vipesa vya madafu ulivyonavyo unasema kijana tajiri. Tajiri hana muda wa kushinda hapa akipwayaya...
 
Itabidi uchunguzwe utajiri wako kama uliupata kwa njia sahihi maana kuunga mkono mafisadi lazima na ww use fisadi
 
Eti tajiri..vijana wa ufipa mnayo matatizo...vipesa vya madafu ulivyonavyo unasema kijana tajiri. Tajiri hana muda wa kushinda hapa akipwayaya...
"Vipesa vya madafu"

Hivyo hivyo vipesa vinatosha kabisa kukufanya tajiri hapa tz. Muda wa mtu anaamua mwenyewe autumieje, yeye na utajiri wake aneamua kuwa JF, tatizo liko wapi? Anakukera? Basi post zake usisome wewe pita tu kama vile hujaziona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…