Natangaza ndoa

hiyo ndoa easifungishe mpaka umejivua gamba
 
wewe ujui kazi ya ulimi? sio zama za ujima izi ,bibie atakuhadithia bro!!utashangaa tu mke kakukimbia kama ujui kuutumia ulimi

Sio kila ulimi unafaa sasa,wewe huo usha ukomaza kwenye ukuta tayari
 
wewe popo bawa kaa kimya, najua umemfuata speaker, nenda kale naye sahani moja huko, ila honey wangu sahau

hahaha,dah!
Angalia usiweke bifu na popo bawa ohooooo!
Sihitaji kukwambia maumivu ya kumkosa afro na popo akaja kukusalimia haha
 
hahaha,dah!
Angalia usiweke bifu na popo bawa ohooooo!
Sihitaji kukwambia maumivu ya kumkosa afro na popo akaja kukusalimia haha

huyo popo ni wako , mi nshamchukua kimwana afro na wewe chukua popo huyo, aliyeanza kubishana na popo ndio imekula kwake so hadi hapo imekula kwako mzeya, bwa ha ha ha ha !!!!
 
huyo popo ni wako , mi nshamchukua kimwana afro na wewe chukua popo huyo, aliyeanza kubishana na popo ndio imekula kwake so hadi hapo imekula kwako mzeya, bwa ha ha ha ha !!!!

Mimi sikumbishia kibabe kama wewe,chukua mzigo wa popo huko,
Afro mwenyewe yuko hapa anakucheka
 
AD utakikwepaje hichi kikombe???

hakikwepeki coz the only mtu aliyeleta pingamizi ameshatukana wakunga tayari hadi mida hii, haihitaji kuwa na tochi kujua kuwa speaker keshafika mwisho wa reli

hakikwepeki coz the only mtu aliyeleta pingamizi ameshatukana wakunga tayari hadi mida hii, haihitaji kuwa na tochi kujua kuwa speaker keshafika mwisho wa reli

Dah! sitii neno maadam mhusika yupo si umona amejibu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…