Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

Mwenyezi Mungu akutangulie Mkuu.
Sent using my 6x6 bed.
 
Kabla hujaacha siasa,jaribu kuirudisha haki ya wale ulishiriki kuwaibia,hata uislamu unasema ivyo kwani mandhari ushajutia kuwa uliwaibia basi jaribu kuwarudishia haki zao ndipo mwenyezi mungu ataweza samehe toba yako
 
Huna lolote. Lete evidence.
Wewe ni Chadema unayetaka kuvuta attention za watu hapa but acha kuchafua chama chetu. Ccm 2015 ilishinda mchana kweupe kabisa bila kuiba. Tuache uongo kuhadaa wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa/ukitoka CCM haraf ufanye siasa unazomshauri kufa dakika mbili, kauli yetu chagua upo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah... Kwani ulilipwa ngapi? Kuuliza si ujinga [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Kwamba mtu akiwa na uelewa mkubwa anafuatilia siasa....nazidi kujifunza..

Hivyo kisaikolojia wewe ukimwona mtu anaongelea habari za Diamond anaakili ndogo kukuzidi.
siasa ndio kitu kinachangooza kila kitu kwenye hii dunia, mtu yoyote yule ambaye anaangalia vitu kwa picha kubwa lazima awe concerned na siasa,
Mtu anayefuatilia sijui celebrity huyu katoka na msichana gani, kapost nini, kamtukana nani, wala hajishghulishi kufuatilia nchi yake inaendaje huyo uwezo wake wa kufikiri bado ni wanting
 
Troll JF njoo huku umpokee mwenzako huyu mpotevu amerudi kundini
 
Wewe akili Zako ndogo na zitakugharimu

Wewe unapewa tetesi unazirusha bila kuzifanyia tafiti.(wewe mwehu)

Unyama ulifanywa na CCM ni upi,
Weka evidence.

Wewe uliajiriwa na mtu binafsi uibe kura hukuwa unalipwa na CCM kwa wizi mliokuwa mnafanya.

Kuchafuana kwenye siasa ni Jambo la kawaida na ndio maana zikaitwa siasa.

In short naona umekurupuka tu kutoka usingizini Wala hujielewi

Nakushauri kwasababu unazijua mbinu Za kuiba kura nenda upinzani wape mbinu hizo ili 2020 upinzani ushike Dola.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukaa kimya nako ni busara.
 
Kuwa mvumilivu mkuu. Malipo kucheleweshwa ni kitu cha kawaida. Usisuse kibarua.
 
Nasubiri yule kinara wa waovu aje atubu hapa.

CCM kwa wingi wao wanaweza kutawala Tanzania na kushinda chaguzi bila wizi wala vitimbi. Lakini wao kwa makusudi huwa wanaamua hawawezi kishinda bila kuumiza wengine, hili siyo sawa. Kwani ni lazima wawe na wabunge 100% au wakubalike na Watanzania wote?

Hongera kwa maamuzi sahihi. Njoo tupiganie Tanzania ya usawa kwa wote isiyo na watawala wala watawaliwa bali yenye viongozi wanaosimamia shughuli za maendeleo kwa niaba yetu
 
Pole sana ndg na hongera kwa kuamua kumuacha shetani.
Hata hivyo, Ili kujihakikishia kuwa umemtema kabisa shetani na mambo yake yote, enenda ukatubu kwa Mungu.
Waweza kufanya hivyo ukiwa mwenyewe au kwa kuongozwa kwenye sala ya toba. Mungu mwenye upendo atakusamehe na kukuongoza kwenye mwenendo mpya.
PIA Kama SAULI itafaa uanze kuwasaidia wengine ambao wanaondelea kuishi wakiwa bado ni watumwa wa shetani. Ukiweza kuwakomboa hata nusu yao utakuwa umesaidia kujenga amani ya kweli na upendo unaopotea kwa kasi, ndani ya nchi yetu.
AMEN Mungu akubariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho unachokijutia ndicho kinachofanywa na wanaccm nchi nzima na MAANDIKO MATAKATIFU yanasema hivi , hakuna mwanaccm atakayeuona ufalme wa Mungu .

Majuto yako ni Mjukuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…