Natangaza rasmi kuachana na siasa

Mimi siyo siasa tuu, nilishaachana na mambo ya nchi yangu Tanzania. Mimi ni MwanaCCM ila pia napenda mchango wa upinzani kwenye nchi yetu.

Ila nilikereka kuona wana CCM tunakuwa machawa sana enzi za Magufuli na za huyu aliyepo. Nikakereka zaidi kuona Wapinzani wanahamia CCM na kuwasaliti Wapenda mageuzi ambao walilinda kura za Wapinzani, na wengine kurisk maisha yao. Shwaini kabisa!

Sasa hivi naangalia maisha yangu tu. Kama CCM wakiona waiuze nchi au waigawane miongoni mwao(Viongozi wachache) wafanye tu hivyo, I care no more.

Nasema hivi; hata Wamalawi wakisema watuvamie mimi sitajitolea kama nilivyofanya enzi zile za Idi Amin. Nitabaki home wanikute. Hii nchi inakera sana yaani.
 
Bado hujasema, kunasiku utakuja kimuomba radhi hayati Magufuli.

Nisiku utakapo gundua kwamba Magu ndio alikuwa mpinzani wa kweli.

Huyo DJ na mafisadi ja kijani laomojatu ndiomana wakashirikiana na mafisadi kumchukia Magu.

Nawatu kama wewe na wenzako mkajanzwa upepo na kwamakududi ama kwa ujinga au tamaa mkamchukia mtu aliekuwa nauzalendo nanchiyake bila ya sababu za msingi.

Sikuzote uwongo hupanda ndege na kuwahi kufika, ukweli hujapolepole na kudhihirika bayana.

Muda nimwalimu.
 
Yeyote aliyekubaliana na suala la EL kuingia CDM na eti kuwa mgombea urahisi na kuzungusha mikono eti EL mabadiriko pale ndio nilipogundua watu wengi ni vichaa na watanzania wengi tunamatatizo ya akili.
 
Mkuu tusubiri matokeo ya uchaguzi kwanza.
 
Naunga mkono hoja mwendazake ndio alikuwa mzalendo namba moja na mpinzani wa kweli.Upinzani utakuja kutokeaga tena ndani ya chama tawala kama historia ikija kujirudia ,nje ya ccm siamini kama kulishawahi kuwa na upinzani wa kweli kuanzia NCCR ya mrema .
 
Mwanzo nzuri hama kabisa
 
M
Ukweli ni kuwa Mbowe kazengua kwa uchu wa madaraka. Chadema itamfia mkononi.
 
We nae sijui unaongea nini hapa.

Huyo Magu alikuwa mpuuzi sana kuwachukia Wapinzani na kuwaumiza. Yeye alitaka wamuimbie mapambio amekuwa nani? Alipaswa aelewe kuwa kupingwa ni jambo la kawaida, na walikuwa wanatimiza wajibu wao.

Magufuli alikuwa anasema "Maendeleo hayana Chama!" Kisha kwenye jukwaa hilo hilo anasema "Nyie watu wa Jimbo X kama mtachagua mbunge wa Chadema sitawajengea barabara na maji siwaletei. Chagueni CCM". Jinga kabisa lile kichwa kama korosho.
 
Wakati mwingine ni busara kuteremka njiani kabla ya mwisho wa safari Ili ujitibu maumivu na kurudisha afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…