Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Kila nikiusoma uzi wa yoga kule jamii intelligence halafu niki connect alicho wahi kukiandika The Boss baada ya tukio la Clouds kushambuliwa, jamaa alieleza utoto wa mjini wa Mbowe na born town, nalinganisha na matukio yanayo tokea sasa hvi then narudisha kumbukumbu nyuma wakati wa sakata la Escrow jinsi pesa zilivo gawiwa, kuna zile zilizo pitia ile bank nyingine zamani ilikuaha pale Sukari house kwamba mwamba nae alikula yaani...., nachoka kabisa. Kwasasa huko upinzani I think is only Lissu, Lema, Heche ndio wanaweza kua wasafi. Safari hi Mbowe ametukatisha tamaa wengi, kaporomosha imani yetu kubwa tuliokua nayo kwake. RIP CDM