Natangaza rasmi kuachana na siasa

Natangaza rasmi kuachana na siasa

Kila nikiusoma uzi wa yoga kule jamii intelligence halafu niki connect alicho wahi kukiandika The Boss baada ya tukio la Clouds kushambuliwa, jamaa alieleza utoto wa mjini wa Mbowe na born town, nalinganisha na matukio yanayo tokea sasa hvi then narudisha kumbukumbu nyuma wakati wa sakata la Escrow jinsi pesa zilivo gawiwa, kuna zile zilizo pitia ile bank nyingine zamani ilikuaha pale Sukari house kwamba mwamba nae alikula yaani...., nachoka kabisa. Kwasasa huko upinzani I think is only Lissu, Lema, Heche ndio wanaweza kua wasafi. Safari hi Mbowe ametukatisha tamaa wengi, kaporomosha imani yetu kubwa tuliokua nayo kwake. RIP CDM
 
I THINK ITS ONLY LISU PEKEEE HAKUNA MWINGINE zaidi.
 
Ndugu kabla ya kuondoka CHADEMA, nikuulize,

Umewahi kusoma kisa Cha kamanda mmoja, jemedari, hero aliyeshinda vita nyingi lakini mwisho wake alikuja kuuwawa na mwanamke kirahisi tu!!

Yaani mlisurvive Kwa Magu, Leo mnapoteana chini ya uongozi wa Sa100?

Futa thread Yako wewe ni jemedari, pambana, njia IPO mbeleni Sema huioni.

Ubarikiwe 🙏
Apambane akiwa hapo hapo chadema?
 
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.

Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.

Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.

Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.

Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.

Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .

Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.

Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .

Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM

Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.

Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.

Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..

Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.

Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Kwa vile hukututaafu unavyoingia siasa, hukuwa na sababu ya kutuaga pia
 
Kupigania hvyo nje ya vyama kwa Tz ni ndoto,nchi ya wanasiasa hiii

Unaweza kuunga mkono jitihada bila kuwa na chama. Kwenye maandamano nenda, changia pesa na pongeza wana demokrasia hatuwezi kuwaachia wenye vyama pekee. Hii nchi ya ya wote
 
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.

Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.

Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.

Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.

Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.

Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .

Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.

Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .

Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM

Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.

Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.

Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..

Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.

Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.

Watanzania tunapenda kususia sana ni utamaduni mbaya. Mimi nipo US kuna chama cha democratic kimeshidwa lakini watu hawasusii wanajipanga
 
Kwenda huko, who are you! We ilitakiwa utekwe kabisa
 
technically

Wewe ni mtu ambaye tangu juzi nikipitia michango yako napatwa huruma na simanzi sana kwa namna ambavyo ulivyokuwa una react jinsi Chadema inavyokwenda.

Niwe mkweli, Mbowe hajaniumiza kama wewe ulivyoniumiza kwa jinsi ulivyokuwa ukiandika kwa namna ulivyokipigania Chadema.

Mungu akutie nguvu 🙏
 
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.

Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.

Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.

Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.

Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.

Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .

Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.

Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .

Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM

Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.

Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.

Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..

Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.

Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Too much is harmful
 
Huwezi kuhimili mikiki ya upinzani Tanzania nakushauri tafuta kadi ya ccm.
 
Watu wamekufa haswa lakini Mbowe hafi wala Mtoto wake haguswi....Teh teh

Ukweli ni kuwa:-

MBOWE kamwe akihongwa pesa HAKATAI, kumbuka Bil 10 za Lowassa, yeye ndiye aliyezichukua mpaka Dr. SLAA akamwona hana msimamo, yeye akajiengua na ilibaki kidogo Mnyika naye ajiondoe

Hata kwenye dili la Abdul na Wenje nina uhakika MBOWE analijua vizuri na alipata % zake za kutosha

Ndio maana Tundu Lissu analaumu kwa mengi kwasababu yeye hataki kulamba miguu
 
Back
Top Bottom