Natangaza rasmi kuachana na siasa

Apambane akiwa hapo hapo chadema?
Ndio,

Uchaguzi Bado na matokeo Bado,

Huo uelekeo Si mzuri, maana gharama za kujenga chama ukakiacha Kisha kuanza UPYA ni kubwa,

Mbona CCM husubiri muda uamue ?
 
Mkuu technically subiri mpaka baada ya kura kupingwa na wajumbe kumweka Mbowe.....

Baada ya matokeo kutangazwa na Mbowe ndiye mshindi basi atakakoelekea Lissu nitakuwa naye isipokuwa tu akielekea ccm simfuati.
Kwamba Lissu akishinda ndio atarudi??
 
Kama wenyewe kwa wenyewe wanagombana hadharani chama hakuna hpo
 
CCM ikigawanyika katikati ndo Utakua upinzani wa kweli wakufanya ivyo ni Tiss kukigawa chama katikati ndo na mendeleo yakuepo sana
 
Kwanini unatangaza? Maamuzi yako binafsi ni mangapi umetutangazia, ili tufanye nini? Ulipotaka kujiunga ulitutangazia?
 
Bilioni mbili sio mchezo jamani ni pesa nyingi wala tusidanganyane. Kuzikataa kunahitaji roho ya malaika
 
Njoo CHAUMA kaka Heche,Lema na Lissu soon wanakuja
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia siasa.
 
Uongo unakusaidia nini? Wewe siyo mchagga
 
Kwa hiyo Tundu Lisu akishinda unarudi kwenye uringo wa siasa au basi tena. Hata hivyo ukowa mshabiki wa simba au yanga huwezi kuacha kushabikia timu yako kisa tu imefungwa wewe utakuwa sio mwanasoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…