Natangaza rasmi kuachana na siasa

Moderator
Hii Forum sasa imekuwa mali ya Chadema? Hakuna habari nyingine ila Chadema TUUU? Ebu tuheshimiane ndugu moderator
 
Unaonekana nawe ni pandikizi vile vile.

Kwamba unajitoa katika kipindi ambacho umoja na WIVU MKUBWA 😅 unahitajika chamani!!

Na hakukuwa na umuhimu wowote kutaja kabila lako!!!
 
Dunia haitasimama ukigoma kutembea nayo...
 
Sio magu boss, yeye ndio mwenye mchango mkubwa wa kuharibu demokrasia ya nchi hii. Sasa hivi tumebaki na chaguzi za kishenzi mbegu aliyootesha yeye. Alaaaniwe dhalimu magu huko motoni alipo.
 
Watanzania tunapenda kususia sana ni utamaduni mbaya. Mimi nipo US kuna chama cha democratic kimeshidwa lakini watu hawasusii wanajipanga
Huko kuna chaguzi za haki, huku chaguzi ni za kishenzi. Hivyo watu hawakati tamaa bali wanapuuza siasa za kihuni.
 
Mbowe alipompokea Lowassa Lissu alikuwa wapi wote ni wale wale tu shtuka usimtegemee binadamu!
 

Hapo uliposema unakunywa bia ndio nimejua hii post yake imeingozwa na nini kuiandika. Ww huwezi kuacha siasa wala kuingia humu jf maana una urahibu wa jf na siasa.
 
Bado hamjasema kumma nyinyi...
Badooo... Mpo wengi sanaa
 
💯✔️
 
Pole na Kila la heri siasa ni maisha, Yuko busy kumtafutia kura lissu, Mabadiliko yaanzie ndani, twende na lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…