900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Ndoa ni gereza hakikisha umemtafuta mfungwa mwezio wakuvumuliana katika hali zote hata mauti iwatengeHabari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Kwanini asirasimishe?Ishi nae kimkakati, lipia mahari ila usi-sign cheti Cha ndoa kanisani wala msikitini namaanisha usirasimishe
Acha ujinga mzabzab, hicho kitu asije kubaliana nacho abadaniTambua ya kwamba mwanamke ni binadamu ana matamanio ya kimwili so kigegedwa na wanaume wengi ni jambo la kawaida. Usije ukavunja ndoa eti kisa mke katombwer huko nje
Kuepusha kuleta thread nyngn ya kuomba ushauriKwanini asirasimishe?
Compromise ndo siri ya mchezo.Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Kila la heri mkuuHabari wakuu,