Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

1. Inabidi ufahamu jambo moja, mwanamke kuacha kutongozwa, ni pale anapofariki.

Ukisema udeal na wanaume wote wanaomtongoza, utakosa furaha maisha yako yote ya huo uhusiano wenu.

2. Ishi kwenye kipato chako
 
Maamuzi yako yawe ya kheri au shari hakikisha una Amua kwa matumizi sahihi ya akili yako dhidi ya Hisia,,Kwenye hii dunia kaa ukijua kamwe huwezi mridhisha binadamu wa Aina yoyote kwa namna yoyote ile,, na pia kamwe kwenye hii dunia usimuamini binadamu wa aina yoyote yule kwa namna yoyote ile,,, Narudia tena ndugu bwana Harusi mtarajiwa"""KAMWEE"",,Mungu akawajalie na awatangulie katika hilo jambo lenu mpate kulifanikisha ikawe kheri kwenu na kwa kizazi chenu na aendelee kuwajalia afya ya mifupa,,damu na nyama kwenye uzazi wenu pia!!!
 
Andaa chumba maalumu cha kuhifadhia madhaifu ya kwenza wako humo yatakaa mpaka ufe.

Kama hauna chumba hicho usioe/usiolewe.
 
Hata ndoa haijafungwa umeanza kuja mitandaoni ku google, aloo
 
Sasa wewe unachofanya ni kuhalaliaha hilo suala, yani ni jambo ambalo halikubaliki kwa namna yoyote. Mzabzab ungekua umeoa usingesema hayo maneno
 
Kumbuka tu mke hawezi kula ndizi moja tu hadi anakufa kuna siku atatamani ndizi nyingine matoke au mshale ukigundua kala ndizi zingine mkanye iwe siri yako tena siri ya ndani

Kumbuka na wewe funguo yako hawezi fungua kitasa kimoja kuna siku utafungua vitasa vingine vya chuo vya ofisini vya mtaaani nae akijua msameane


Kumbuka msamehe akila ndizi zingine mara tatu akizid hapo huyo hafai kabisa wala hajifunzi ni mlooho wa ndizi maana atakula hadi ndizi za majirani utatia aibu mara atakula ndizi za ofisi za maboss hapo mtimue tu huna jinsi..... tena mara ale ndizi matoke na wewe una tule tu ndizi mbivu tu dogo hivi ataanza kudharau shamba lako la hiyo ndizi

Na wewe mr funguo usifungue vitasa hadi mke ajue kuwa unafungua vitasa ...usije fungua kitasa cha chumba cha mfanyakazi wa ndani beki tatu wenu marufuku


Ila kumbuka mkeo hawezi kula ndizi moja hadi anakufa ...iwe siri ukijua ...na ww huwez mr funguo huwez kufungua kitasa kimoja hadi unakufa hayo huwa siri

Ndoa ni undugu uvumilivu na heshima tu ila mambo ni mengi
 
Point namba Saba nzurii Sana.....
 
Kwani maelekezo yake ni pointi ipi imeonesha mwanamke kaonewa?? Kapigwa? Au kafanyiwa uonevu? Au kifupi zaidi kipi kilichoongelewa na huyo bwana kimeonekana si haki?
 
Wahenga walisema ndoa ndoano, don't except much kwenye ndoa, mm nipo kwenye negative side ya ndoa naona wahenga hawakukosea walivyosema ndoa ndoano.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani maelekezo yake ni pointi ipi imeonesha mwanamke kaonewa?? Kapigwa? Au kafanyiwa uonevu? Au kifupi zaidi kipi kilichoongelewa na huyo bwana kimeonekana si haki?
Haki ni two way traffic sio one way traffic

Ohh mwanamke amsikilize mume what about mume kumsikiliza mwanamke?

Hoja aliziandika sio two way traffic zimejikita zaidi kwa haki za mume sio wote
 
Sasa wewe unachofanya ni kuhalaliaha hilo suala, yani ni jambo ambalo halikubaliki kwa namna yoyote. Mzabzab ungekua umeoa usingesema hayo maneno
Ah kwa hiyo unakubali kuwa ni kweli kuwa wake wengi watagegedwa tuu nje ya ndoa.
Sasa naoa kivipi wakati sifa kuu ya kuwa kwenye ndoa sina jameni😲😲😲
 
Stay single as long as you can, the best advise can offer.
 
Avoid too much expectations kutoka kwa mke wako yaani ufundishe moyo wako kukubali matokeo ya aina zote mtaishi kwa amani.. kila lenye heri mkuu
 
Ngoja nikupe namba za Achraf Hakimi akuelekeze zaidi, huyu ni Professor wa masuala ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…