Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

Kati ya Mzee wa kupambania au Mzabzab awe Best Man wako.

ANGALIZO:

Shemeji Mtarajiwa asiwe tu na chura ili Behaviourist asijejikwaa na kuanguka akiwa amekodolea macho uumbwaji bomba wa chura wa Shemu [emoji1]
 
🤔🤔 sijui nichukue nafasi gan
Jitahidi uwe karibu na Matooa utakula mema ya nchi.
Huyu mwamba anaogopwa sana na Genta hivyo nina uhakika atapewa upendeleo sana
 
Ningeshangaa ikiwa usingemshirikisha mbabe wako Matola hahaha, mtani umepata kiboko yako naona iwa huyu mwamba umeficha mkia makalioni haha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alooo
 
Mimi ni kamati ya zawadi nitabeba pilipili inayoitwa Akabanga kutoka Rwanda ambayo inaongeza nguvu, nitabeba pia maziwa ya inyange kutoka Rwanda ili unywe upate akili lakini pia nitabeba Wine tamu sana kutoka Rwanda inayoitwa AKARUSHO
IMG_0772.jpg

IMG_0773.jpg

IMG_0774.jpg
 
Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu.

Wengine jipangeni Wenyewe.

Mzee baba LIKUD mzee wa dumba, anaweza akaroga raia wakaanza kummendea maza house...
 
Back
Top Bottom