Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

Kumbe popoma ni me
Mi muda wote najuaga popoma ni ke.
Leo umejikamatisha Mwenyewe kila Siku huwa unajitapa / unajimwambafai hapa Jamiiforums kuwa unanijua na naishi Bunda Mkoani Mara ( Musoma ) halafu ni Mshamba mno sasa iweje tena Mtu uliyewaaminisha Watu ( Members ) hapa kuwa unanijua leo kumbe hata tu Jinsia yangu huijui?

Nimekutega patamu na umepaingia. Ukiwa na Akili Kubwa na zilizobarikiwa vyema na Mwenyezi Mungu ni raha sana.
 
financial services kamati ya michango
DeepPond M.C au [emoji23][emoji23]
@Nakadol na Sky Eclat mapambo
mzabzab na Zero IQ kamati ya vinywaji vinjwaji
@smart91 kugawa kadi
Mshana Jr mfungisha ndoa
Kenz mpiga matarumbeta kwenye umati wa watu
Extrovert mshauri na Saha
Bujibuji Simba Nyamaume huyu ahusike kugawa chakula amna namna
Liverpool VPN ahusike kuikataa ndoa ama kuangalia uhalali wa hiyo ndoa[emoji16]
johnthebaptist huyu kama jina lake ahusike kufuta viti kanisani ili waheshimiwa tuingie kushuhudia ndoa[emoji23]
MamaSamia2025 huyu ahusike kusambaza umbea na taharifa za ndoa mtaa kwa mtaa[emoji23]
Yule jamaa wa kula Tunda kimasihala awe KATIBU[emoji23][emoji23][emoji23] ataitendea haki nafasi yake ADHIMU[emoji23]
Wengine tutaangalia utaratibu siku nyingine jinsi gani mtaweza kupata nafasi[emoji23][emoji23] WANAKAMATI NAOMBA HILI NALO MKALITIZAME
 
Na naahidi kamati ya michango inaanza kazi yake mara moja.😂😂
 
Sitaki Kuoa Mwanamke Great Thinker ( Mwerevu ) kwani tutashindwana na najijua Mwenyewe ila nitaoa hawa wa Kawaida tu ambao ninawamudu na Mabiti ( Mikwara ) yangu.
Dah ila na hiyo mikwara ilibidi umpate humu mnyooshane vizuri, ila fresh shughuli ni watu na watu ndiyo sisi tutakuja😀
 
Ulaya ya Bukoba 😂😂
Nipo katika mipango ya kwenda kuchukua PHD hapo France
Katika chuo kinaitwa Universitè de lettre Nice en France, so panapo uzima sitoweza kukatisha safari hii Adhimu na kurudi bongo sema ntamtuma secretary wangu Afike hapo
 
Mimi kama mwana kamati sitotumia vinywaji vyenu ntakuja na mkuu wa kaya
 
Nipo katika mipango ya kwenda kuchukua PHD hapo France
Katika chuo kinaitwa Universitè de lettre Nice en France, so panapo uzima sitoweza kukatisha safari hii Adhimu na kurudi bongo sema ntamtuma secretary wangu Afike hapo
The true haya, sawa mkuu, huyo secretary atakuja na ile Range au utampa Bima(BMW)?
 
Back
Top Bottom