Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

😂 😇na wakifika wote bas kutakuwa hakuna namna itabidi Demi ashuhudie tukioana....maana haiwezekani tukodi Nguo then zirudi bila matumizi
Au sisi tutatangulia mapema kabisa ukumbini,mpaka wafike wahusika wataambiwa tu harusi imeshafanyika nyie wahudhuriaji mlichelewea wapi?
 
Mimi ntatuma Mwakilishi maana 2027 nitakuwa bado sijarudi kutoka Ulaya
 
Back
Top Bottom