Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

πŸ˜‚ πŸ˜‡na wakifika wote bas kutakuwa hakuna namna itabidi Demi ashuhudie tukioana....maana haiwezekani tukodi Nguo then zirudi bila matumizi
Au sisi tutatangulia mapema kabisa ukumbini,mpaka wafike wahusika wataambiwa tu harusi imeshafanyika nyie wahudhuriaji mlichelewea wapi?
 
Itabidi mshana apewe kamati ya mambo ya ndani ya uvunguni kabisa
 
Mimi ntatuma Mwakilishi maana 2027 nitakuwa bado sijarudi kutoka Ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…