LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha
Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake
Akawa ananiomba niachane na huyu demu wa nje ila mimi nikamwambia anipe muda.
Imepita mwezi Sasa bado nipo na huyu mtoto wa kitanga ambaye ameuharibu moyo wangu,
Na dozi Nampa Kila siku jioni kabla sijafika home.
Sasa leo ndo hivo kaniambia imenasa
Anajua Nina mke na wife alishachukua namba na kumwambia aqchane na mimi lakini mtoto haambiliki
Kiujumla mimi Nina watoto 2 nimezaa na wife wangu.
Pia toka niwe na huyu demu nimekuwa na furaha moyoni mwangu pia nimefurahi kusikia hivo,
Picha linanza
Nimepanga
Kazi yangu ya kwa mwezi napata zaidi ya laki4 nimejiajiri. Huyu demu ni mfanyakazi japo kwao ameacha mtoto
Je? Nitatoboa kweli?
Na natamani wife ajue tu mapema ili awe na maamuzi ya kuendelea na mimi au ajikatae.