Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ni upuuzi alioufanya,Tusitetee. Haya mambo ya ndoa ni magumu sana. Hata hatima yake inahitaji maamuzi magumu kweli kweli. Mbona yeye aliamua kumuumiza mmewe huku akijua anamuumiza. Ingawa hajaweka kisa chote, ebu fikiria km alinyimwa tendo la ndoa, maan hii ndo slaa kwa wanawake wengi kwa sasa na ndo maan ndoa zao zinakufa kila siku. Binafisi nipo upande wa mleta madam.