ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mimi nililia hadi yakakauka.Nimelia sanaπππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nililia hadi yakakauka.Nimelia sanaπππππ
Wewe unajuaje kama ni yako.Wewe huwezi kujua mtu anataka kusema nn mpaka atamke sio
Hebu subiri kwanza!! Ulilia nini na wakati wewe ndio tatizo!!!Mimi nililia hadi yakakauka.
Babu Grahams hebu ukuje, hii kesi nzito sana.Kuna kipindi niliwaza kama wewe, yaani niliona watoto nilionao bado nahitaji mmoja TENA wa nje, japo sikuwa na mgogoro wowote ndani ila nilifikiri ni muhimu kuchanganya damu, bahati mbaya na nasema bahati mbaya haikuwa. Mwisho wa siku mpango ukayeyuka na sidhani tena, umri huu kuzaa tena ni kutafuta kulea ukiwa mzee.
subiri kidogo waifu naye ataleta mtoto wa njeNdo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha
Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake
Akawa ananiomba niachane na huyu demu wa nje ila mimi nikamwambia anipe muda.
Imepita mwezi Sasa bado nipo na huyu mtoto wa kitanga ambaye ameuharibu moyo wangu,
Na dozi Nampa Kila siku jioni kabla sijafika home.
Sasa leo ndo hivo kaniambia imenasa
Anajua Nina mke na wife alishachukua namba na kumwambia aqchane na mimi lakini mtoto haambiliki
Kiujumla mimi Nina watoto 2 nimezaa na wife wangu.
Pia toka niwe na huyu demu nimekuwa na furaha moyoni mwangu pia nimefurahi kusikia hivo,
Picha linanza
Nimepanga
Kazi yangu ya kwa mwezi napata zaidi ya laki4 nimejiajiri. Huyu demu ni mfanyakazi japo kwao ameacha mtoto
Je? Nitatoboa kweli?
Na natamani wife ajue tu mapema ili awe na maamuzi ya kuendelea na mimi au ajikatae.View attachment 3166643
Kazi yangu ya kwa mwezi napata zaidi ya laki4 nimejiajiri. Huyu demu ni mfanyakazi japo kwao ameacha mtoto
Una uhakika tatizo ni mimi?Hebu subiri kwanza!! Ulilia nini na wakati wewe ndio tatizo!!!
Bado adaπ amejizika kabisaKodi 50000, Msosi? Umeme? Akiba? Matibabu? Mchepuko? Mke? Watoto wawili & mimba π§
Wewe! Si ndio nimekuta unaconfess kuwa ulitaka kuchepukaπββοΈπββοΈπββοΈUna uhakika tatizo ni mimi?
Asili ya mwanaume, hawezi kuwa na mwanamke mmoja.Wewe! Si ndio nimekuta unaconfess kuwa ulitaka kuchepukaπββοΈπββοΈπββοΈ
Hahaha..................Mzee mwenzangu ameamua kumwaga Siri ya kambi πBabu Grahams hebu ukuje, hii kesi nzito sana.
Kwahiyo babu unataka kusemaje?Hahaha..................Mzee mwenzangu ameamua kumwaga Siri ya kambi π
Unajua miaka ya zamani kutokana na uduni wa huduma za afya.
Ilishauriwa tujaribu kuzaa watoto Kwa Mama tofauti ili kama kutakuwa na tatizo hasa la kiafya Kwa Mama mmoja asirithishe Kwa watoto wengine.
Japo haya mambo tuliyafanya Siri sana yasijulikane, maana Watoto wa nje wa Mzee ERoni lazima wangefanana na Watoto wake ndani ya ndoa
Ili Kutuliza migogoro ndani ya ndoa, Wazee tuliamua kuja na misemo kwamba;
Mama Mjamzito akimchukia Mzee ERoni lazima atazaa watoto watakaofanana naye π
Vile vile msemo wa kusema Kitanda hakizai haramu π
Hii kauli naihifadhi, soon nitaitumia.Asili ya mwanaume, hawezi kuwa na mwanamke mmoja.
Huwezi kuelewa...Hii kauli naihifadhi, soon nitaitumia.
Tena unasema kabisa "bahati mbaya"πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hiiii bagosha!
Nilichotaka kusema Mjukuu ni kwamba "Kitanda hakizai haramu" πKwahiyo babu unataka kusemaje?