Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha

Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake

Akawa ananiomba niachane na huyu demu wa nje ila mimi nikamwambia anipe muda.

Imepita mwezi Sasa bado nipo na huyu mtoto wa kitanga ambaye ameuharibu moyo wangu,

Na dozi Nampa Kila siku jioni kabla sijafika home.

Sasa leo ndo hivo kaniambia imenasa

Anajua Nina mke na wife alishachukua namba na kumwambia aqchane na mimi lakini mtoto haambiliki

Kiujumla mimi Nina watoto 2 nimezaa na wife wangu.

Pia toka niwe na huyu demu nimekuwa na furaha moyoni mwangu pia nimefurahi kusikia hivo,

Picha linanza

Nimepanga

Kazi yangu ya kwa mwezi napata zaidi ya laki4 nimejiajiri. Huyu demu ni mfanyakazi japo kwao ameacha mtoto

Je? Nitatoboa kweli?

Na natamani wife ajue tu mapema ili awe na maamuzi ya kuendelea na mimi au ajikatae.View attachment 3166643
Imekula kwako trust me
 
Nyie ndio mnatengeneza single mothers watoto wenu wanakuja kuishi maisha ya mateso tu.
 
Kuna kipindi niliwaza kama wewe, yaani niliona watoto nilionao bado nahitaji mmoja TENA wa nje, japo sikuwa na mgogoro wowote ndani ila nilifikiri ni muhimu kuchanganya damu, bahati mbaya na nasema bahati mbaya haikuwa. Mwisho wa siku mpango ukayeyuka na sidhani tena, umri huu kuzaa tena ni kutafuta kulea ukiwa mzee.
 
Sasa Mkuu Kwa kipato hicho cha laki 4 ndiyo utaweza kuhudumia wake wawili Kwa pamoja?

Ni kweli Kuna wakati Wake zetu hutuudhi na kutukera, lakini umejiuliza naye umemuudhi na kumkera mara ngapi?

Vipi naye akiamua kumbebea mimba Mwanaume mwingine huko nje kisha akakuletea wewe ndani ulee?

Maamuzi ni yako Mkuu, utakapofikishwa ustawi wa jamii Kwa kushindwa kutoa hela ya matunzo ya watoto, ndiyo utaelewa uzito wa hayo uliyofanya
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Lazima alipize

Kuna jamaa yangu mmoja aliotoka nje ya ndoa mara nyingi tu aliuza mechi yule shemeji akafanya fumanizi zito na mimi nikashindwa kutetea ila tukaitwa kwenye kikao cha usuluhishi mambo yakaenda vizuri lakini yule shemeji akaomba atoe neno mbele ya baba mkwe mama mkwe mashemeji na wazee fulani hivi
Akasema nafurahi mmeitikia wito na kusuluhisha huu ugomvi na mimi nimekabali ameokosea ila kauli yangu ni moja tu akae akijua akilalal akiamka au akiwa kazini au hapa nyumbani lazima nilipize na kweli yule shemeji alifanya tukio zito sana aliuza mechi hovyo hovyo kama mbwa na akiwa na watoto wakubwa umri 18+
Na ndoa ilivunjika hata majivu hyakubaki
Zingatia hilo lazima akulipizie tena vibaya mno
Hahaha kataa ndoa
 
Kuna kipindi niliwaza kama wewe, yaani niliona watoto nilionao bado nahitaji mmoja TENA wa nje, japo sikuwa na mgogoro wowote ndani ila nilifikiri ni muhimu kuchanganya damu, bahati mbaya na nasema bahati mbaya haikuwa. Mwisho wa siku mpango ukayeyuka na sidhani tena, umri huu kuzaa tena ni kutafuta kulea ukiwa mzee.
Nimekukamata!
 
Pamoja na kubahatika kupata watoto wawili lakini nI kama haujakua hivi (you're not matured enough)

Sijaelewa kabisa logic iliyopo kwenye huu uzi,, ushauri wa bure,,mke wako hapaswi kufahamu kwa sasa kuhusu hiyo mimba ya mchepuko wako 😎🤝
Hajui ya kesho 😅😅 pata shida uone nani atamsaidia mchepuko au mke
 
Hiyo sio point kiongoz, m.ke kutoka nje kisa anamkomoa mwanaum anajidanganya, anajikomoa mwenyww na sana sana anakomoa uchi wake
Wewe utaweza kuvumilia kuona hayo au wewe huna Wivu kama sisi wengine?

Mimi hata Mchepuko wangu tu sitaki achepuke, kuna maradhi lakini pia heshima kushuka.

Ndiyo sembuse kubebewa mimba kabisa 🙌
 
kwa hizo sms 😀😀😀😀😃😃kuna kitu hakiko sawa ww ndio unajiita baba kijacho bila kuambiwa😀😀😃
 
Alinitesa sana ndo maana tumefikia huku

Siku hizi mkuu kuliko kupiga ngumu Bora mapigo ya wireless tu
Hapo haujamkomoa huyo mkeo, unawakomoa wanao.

Huwezi nielewa kwa sasa, ila siku wakikua utarudi hapa kwenye hii comment kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom