Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha

Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake

Akawa ananiomba niachane na huyu demu wa nje ila mimi nikamwambia anipe muda.

Imepita mwezi Sasa bado nipo na huyu mtoto wa kitanga ambaye ameuharibu moyo wangu,

Na dozi Nampa Kila siku jioni kabla sijafika home.

Sasa leo ndo hivo kaniambia imenasa

Anajua Nina mke na wife alishachukua namba na kumwambia aqchane na mimi lakini mtoto haambiliki

Kiujumla mimi Nina watoto 2 nimezaa na wife wangu.

Pia toka niwe na huyu demu nimekuwa na furaha moyoni mwangu pia nimefurahi kusikia hivo,

Picha linanza

Nimepanga

Kazi yangu ya kwa mwezi napata zaidi ya laki4 nimejiajiri. Huyu demu ni mfanyakazi japo kwao ameacha mtoto

Je? Nitatoboa kweli?

Na natamani wife ajue tu mapema ili awe na maamuzi ya kuendelea na mimi au ajikatae.
 
Pamoja na kubahatika kupata watoto wawili lakini nI kama haujakua hivi (you're not matured enough)

Sijaelewa kabisa logic iliyopo kwenye huu uzi,, ushauri wa bure,,mke wako hapaswi kufahamu kwa sasa kuhusu hiyo mimba ya mchepuko wako 😎🤝
 
Falsafa ni ile ile tu, mwanamke hasikiagi hadi apate mke mwenza😂
 
Huo mtirirko wa text n kama haushiki dishi vzuri, n kama vile mtu anajiuliza swali then anajijibu.
Anyway, utajimada mwenyewe. Mambo ya mapenz hatushauri siku hizi maana tunafurahia mkirudi na nyuzi za machungu baada ya kushupaza komwe
 
Hongera sana
 
Unaona sifa ukute sio mwanao
Nina uhakika mkuu
Dawa ya mke mjeuri ni kumuolea mitala tu.
 
Laki 4 au mill 4 kama ni laki 4 duuh umasikini unagonga hodi
 
Naona umeamua kujichimbia kaburi lako mwenyewe mkuu
 
Huo mtirirko wa text n kama haushiki dishi vzuri, n kama vile mtu anajiuliza swali then anajijibu.
Anyway, utajimada mwenyewe. Mambo ya mapenz hatushauri siku hizi maana tunafurahia mkirudi na nyuzi za machungu baada ya kushupaza komwe
Wewe jua tu nimemjaza mtu tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…