Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

Ni upuuzi alioufanya,
 
Laki 4 au mill 4 kama ni laki 4 duuh umasikini unagonga hodi
yani vijana sijui wapoje nowdays[emoji53] yani 400k ndio unafurahi kabisa kuongeza watoto? tena nnje ya ndoa? si kujiongezea ufukara na kutesa watoto guys?[emoji26]

yani per month unaingiza 400k tu then unakuja kujitapa unazas nnje una wazimu we mtoto? anyway kupanga ni kuchagua
 
Kwangu mimi naishi mwenyewe ila laki 4 ni pesa ya wiki mbili tu sina familia, mtoto, mke

Hata dem sina maana naona atanifilisi nashangaa mwenzangu laki 4 anaitambia ni masikitiko na utakuta anaishi dsm kwa maisha yalivyopanda bei hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…