Ndo hivyo huwa nafanya, kuna dada jirani yangu huwa ananishangaa naishi mwenyewe ila nikiosha vyombo kama tumekula watu 6[emoji134][emoji134][emoji134]Ujanja ni ukichafua unaosha ukimaliza kupika unabaki na vyombo vichache.
Nitaenda wapi ndugu yangu [emoji1][emoji1][emoji1]Hivi kumbe bado upo jf?
Mie natoaga limguu lote.Hata Kama kazichuna kucha za kuku nijuavyo mimi hazipikwi zinakatwa kabla ya kupika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitaenda wapi ndugu yangu [emoji1][emoji1][emoji1]
Heri ya Pasaka (sijui nikuite jina la mwanzo au la pili?!!) shemeji yangu mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli, JF bado hapajatokea uzi wenye persistent speed kama ule. Uzi unakimbia kama umefungiwa turbo engines[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona speed ya kawaida ile
Ule uzi huwa naupenda as mnajikuta mnachat as family kama ilivyokuwa kwa selfika. Shida ni speed yake. Huwa nikiwaza hilo hata siufungui. Maana nitapitwa na vingi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli, JF bado hapajatokea uzi wenye persistent speed kama ule.
Kwa hiyo utakuwa unapika huku unaosha vyombo[emoji134][emoji134]Ujanja ni ukichafua unaosha ukimaliza kupika unabaki na vyombo vichache.
Na kwako pia anko
Ni makande, japo wengine maharage nayo huita githeri.Hivi githeri ni nini?
Nipo mbona, kila mara nakuona. Pilika pilika tu ndio zinatunyima muda wa kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ita lolote tu shem.
Sijakutia machoni kitambo kweli, nikajua umetukimbia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli, JF bado hapajatokea uzi wenye persistent speed kama ule. Uzi unakimbia kama umefungiwa turbo engines
Ule uzi huwa naupenda as mnajikuta mnachat as family kama ilivyokuwa kwa selfika. Shida ni speed yake. Huwa nikiwaza hilo hata siufungui. Maana nitapitwa na vingi.
Pasaka njema kwako pia anko, Heaven Sent yupo ila kapotea yaani kuja kwake JF ni hadi umuite tena wakati unamtag usikosee hata spelling katika jina lake vinginevyo haoni comment yako. [emoji16][emoji16]Zimefika Anko [emoji120][emoji120]
Uwe na Pasaka njema.
Kuna sehemu numbwene Heaven Sent, gumponiege...
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀Mguu mtamu mimi nakata kucha siwekiMie natoaga limguu lote.
Nimepokea salam totoo[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] na wewe naomba nisaidie kuwafikishia salamu hao watoto tafadhali, kina carbamazepine na anko wangu andjul pia usiwasahau.
Yeah hata mie nafanya hivyo, yaani ni bora nipike masaa manne ila mwisho wa siku najua nikitoka hapo sina vyombo vichafu.Ujanja ni ukichafua unaosha ukimaliza kupika unabaki na vyombo vichache.
Wallah usinipikie tu, bora nipike mwenyewe. Maana hata hivyo siwezi kuenjoy chakula nikiwa na stress za kuosha vyomboSimple tu, sikupikii.
Ndio nikimaliza kupika nabakisha vyombo vile vya mwisho kupikia.Kwa hiyo utakuwa unapika huku unaosha vyombo[emoji134][emoji134]
Yeah wote wamekuja, bado mdogo wako Saint Anne.Anko wako keshakuja nadhani umemuona