Hii kitu inasaidia sana unakuwa umemaliza kupika na kuosha vyombo kwa pamojaYeah hata mie nafanya hivyo, yaani ni bora nipike masaa manne ila mwisho wa siku najua nikitoka hapo sina vyombo vichafu.
Maana mie vyombo naoshaga muda mrefu
Khaa mi kwanza nilikopanga sina vyombo vingi, maana kununua vyombo vingi nako kunachangia mtu kuwa mtumiaji mbaya.Ndo hivyo huwa nafanya, kuna dada jirani yangu huwa ananishangaa naishi mwenyewe ila nikiosha vyombo kama tumekula watu 6[emoji134][emoji134][emoji134]
Ule uzi Ukitaka uwezane nao usitake kufuatilia kila kitu walichokomenti ukiwa haupo, mimi huwa nikifika nasoma post chache nilipoishia, nascroll mpaka mwisho nasoma post kama 20/30 za mwishoni then naendelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli, JF bado hapajatokea uzi wenye persistent speed kama ule. Uzi unakimbia kama umefungiwa turbo engines
Hajapata notification, naona yupo tu anapiga makelele kuleYeah wote wamekuja, bado mdogo wako Saint Anne.
Mmemaliza chakula kipi? Maana hiki naona bado kimejaa kwa sahani.
Kwahiyo mlikula ndio mkala?
Teh watu na uzungu wenu, uswahilini kisicholiwa kwa kuku ni nyongo na manyoya tu. Watu wanakula hazi hizo kuchaMie natoaga limguu lote.
Thanks Zoë....Nimeiona, nimekumiss pia totoo.
Ule uzi wenu speed yake nimeshindwa, nisalimie kina Saint Anne na Numbisa waambie wawe wanakuja na kwingine basi.
Umeona eenh, hata mie naupenda kuna company sana ila ukitoka tu kidogo ukarudi unakuta comments 800 mbele hapo hata kama app ingekuwa inakuletea notifications bado kuna zingine hautaziona tu.Ule uzi huwa naupenda as mnajikuta mnachat as family kama ilivyokuwa kwa selfika. Shida ni speed yake. Huwa nikiwaza hilo hata siufungui. Maana nitapitwa na vingi.
Yaani bora hivyoKwa hiyo utakuwa unapika huku unaosha vyombo[emoji134][emoji134]
Mmh mimi siweziYaani bora hivyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wallah sasa ukute na wewe umeporomosha zile tafiti zako, ndiyo huwa nachoka mapafu pamoja na figo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmenichekesha
Asante, heri ya pasaka na kwako pia dada.Nimepokea salam totoo
Kheri ya pasaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wallah sasa ukute na wewe umeporomosha zile tafiti zako, ndiyo huwa nachoka mapafu pamoja na figo.
Ila kuna nyingine nasomaga huwa nacheka kama mwehu, mfano zile za kujamba aise hadi niliziscreenshoot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks Zoë....
Hahah! Umenifurahisha sana, ila mbona wanazunguka sana huku sema tu hawana mbwembwe kama wakiwa kule....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo mimi ninachofanya siku hizi, ila huwa nahofia kuna watu wanaweza kuwa wameniquote na ukizingatia notifications sipati.Ule uzi Ukitaka uwezane nao usitake kufuatilia kila kitu walichokomenti ukiwa haupo, mimi huwa nikifika nasoma post chache nilipoishia, nascroll mpaka mwisho nasoma post kama 20/30 za mwishoni then naendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kanapiga umbea kule hadi kanasahau kama JF kuna nyuzi nyingine pia, watumiaji wote wa app tunaliona joto la jiwe kwenye notifications yaani ni majanga.Hajapata notification, naona yupo tu anapiga makelele kule
Mshakula poko. Wengine hatutumii mduduKaribu uonje hakika hautajutia
Siunaona sasa 😀😀Sema nini akina mie tukitoka nje ya likes huwa tunaongozana na kivuli cha ban loading [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]