Weee nikipika maana yake muosha vyombo ni mwingine [emoji85][emoji85]Afadhali, mpishi na mwosha vyombo yupo. Taabu inakuja "chakula kinachopikwa"[emoji134][emoji134][emoji134]
Mie utumbo ndiyo sili, ila miguu nikiwa nyumbani tunafanya kugombea kabisa.Mie hadi utumbo nala, ila miguu huwa miguuumu na haina hata nyama[emoji134]
Mie makande yote tu nayapenda. Kuna githeri,kande na mangararimo[emoji39][emoji39][emoji39]Uwiii ili libaya....bora nile ugali tembele. Ila kande mahindi makavu mwake
We wakishua hayo mambo ya Tegeta kwa Nyuki kulikoni?Mie utumbo ndiyo sili, ila miguu nikiwa nyumbani tunafanya kugombea kabisa.
Basi mie mtu akinitag au akiniquote sehemu halafu sijaona huwa najisikia vibayaWakayi mwingine si lazima(maana huwezi)kujibu quotes zote.
Unaanzia ulipopakuta.
Kama kuna convo inakuvutia hapo ndo panakuwa na shida
Kuongezea tu labda nimuambie kuwa App ipo kwaajili ya wazee, browser ya vijana😂😂😂
Sio wanakuambia...dogo app ngumu kama logarithms. Kwanza ukilog in tu pale hapaeleweki.....kuna siku nilitafuta forums list sioni, uwanja wa new post uko "shabalabagala".
Davet D njooo ujazie nyama 😂😂😂
Githeri? Elimu kidogo (ndio kwanza nakusikiaMie makande yote tu nayapenda. Kuna githeri,kande na mangararimo[emoji39][emoji39][emoji39]
Hahah kaonekana tu hako, yaani Numbisa usipomuona JF ujue tu kala ban.Hako katoto ni katukutu sijapata ona
Kama nikikutag mie sio? 😂😂😂😂 kuna tag / qoute zingine ukiiona Hata nguvu za kuiLike zinakata....Basi mie mtu akinitag au akiniquote sehemu halafu sijaona huwa najisikia vibaya
Yeah hata mie huwa naingia kufanya settings ambazo hazipo kwa app tu basiMimi browser huwa naingia kucheki notification tu au kama nataka kufunga/ kufungua PM
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Githeri? Elimu kidogo (ndio kwanza nakusikia
Mangararimo pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe unavyoiona app ndivyo mimi ninavyoiona browser, yaani kwanza kulivyo kaa na giza giza vile sijui napaonaje aisee.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wanakuambia...dogo app ngumu kama logarithms. Kwanza ukilog in tu pale hapaeleweki.....kuna siku nilitafuta forums list sioni, uwanja wa new post uko "shabalabagala".
Davet D njooo ujazie nyama [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie napenda sana mahindi ila yakiwa inform of kande hapana kwa kweliUwiii ili libaya....bora nile ugali tembele. Ila kande mahindi makavu mwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi tegeta kwa nyuki napo utapaita uswahilini ?? Hebu njoo buza huku tukuoneshe namna waswahili tunavyoishi mjini !!We wakishua hayo mambo ya Tegeta kwa Nyuki kulikoni?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuongezea tu labda nimuambie kuwa App ipo kwaajili ya wazee, browser ya vijana
Hahaaa, siyo kwamba browser ndiyo walianza nayo wakina Ngabu na Kiranga enzi za Jambo Forums? App si imekuja hapa kati kati tuKuongezea tu labda nimuambie kuwa App ipo kwaajili ya wazee, browser ya vijana