Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Githeri? Elimu kidogo (ndio kwanza nakusikia
Mangararimo pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Githeri ni jina la kikenya(sijui ni kikikuyu) ikimaanisha kande la mahindi mabichi. Sasa ukute limepikwa vizuri ni taamuuu. Mangararimo haya ni ya uchagani huko tamuu nayo(sijui inapikwaje napenda tu kula[emoji85][emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wanakuambia...dogo app ngumu kama logarithms. Kwanza ukilog in tu pale hapaeleweki.....kuna siku nilitafuta forums list sioni, uwanja wa new post uko "shabalabagala".
Davet D njooo ujazie nyama [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe unavyoiona app ndivyo mimi ninavyoiona browser, yaani kwanza kulivyo kaa na giza giza vile sijui napaonaje aisee.

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] na vyenye sipendi kusoma comments katika pages ndiyo kabisa
 
Back
Top Bottom