Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Nakonde

Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
28
Reaction score
58
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
 
Nakusubiri ukimpata unifate PM. Huko nitajua nitakwambia nini
 
Mimi sifa zoote ninazo, ila kichwa changu ni vile vinaitwaga "vichwa maji".

Kama utaniweza, nije PM fastaaaaaaa.
 
Hujaweka hata urefu wako make mi mrefu ujue
 
poa nashukulu mungu naona dua zangu znakubaliwa sawa mm Nina kila ulichokitaka naomba uni pm tuongee zaidi
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Mapenzi ya kweli yakoje? Ni akukabidhi namba za siri za ATM na hati za nyumba ua unamaanisha nini?
 
Wewe mwenyewe ukoje? ukiona mwanamke anatafuta mwanaume hapa kwetu Africa tia shaka kidogo.
 
Kuna mtu anasifa hizo zote na yupo single. Sasa ntakupm umchek mam[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23]
 
Punguza punguza kidogo kwenye umri!!
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni

jinsia yako ni ipi ke au me? maana mambo ya siku hizi balaa tupu!!
 
Back
Top Bottom