Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Bado hujakuwa subili umri uende ndio utajua Kadri unavyokuwa Kuna vitu unavipa kipaumbele sio kila muda kupigiana Sim na kuongea ongea vitu visivyo kuwa na Tija huyo jamaa amekuwa kwa hiyo haoni umuhimu wa kuongea Sanaa inabidi uende na slogani yake ila ukitaka mabishoo wa kuongea na kuchrt muda wote utawapata
 
Kaajiriwa serikalini? Ungekomaa nae akutibu
 
Hapo ni pesa tuu inasumbua nitafute inbox nikupe net.
 
Yan kwa maelezo tu hata kama sijasikia maelezo ya jamaa, wewe ni mbinafsi namba moja. Ukitoa ubinafsi tutaendelea kukushauri
 
Binti we angalia moyo wako tu,,npo na uyo jamaa ukipga asipopokea ole wako umuulize jibu utalopewa utajuta kuuliza,au asipojib mesej uliza uone🤣,na akikumis hakikisha upo active ole wako asikupate..........mambo ni mengi
Na unajihesabia pia una mahusiano?
Baby girl, you deserve better
Hakuna mtu hapo
 
Huna Tu shughuli ya kukufanya uwe busy unashinda ukimuwaza waza mtu ambaye tayari kashaonyesha dalili zote kwamba hakuhitaji tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…