Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Mapenzi ya KIFILIPINO acha,,, jamaa yupo vizuri siku 2 unawaza hata wiki fresh mambo mengi sahivi MWENZIO KUNA INSH ANASIKILIZIA,,
 
Kupeana utamu pia ni mapenzi
Kuna aina nying sana za mapenzi na kuna tabia tofauti tofauti za upendo
 
Huyu itakuwa ni moja ya wale wavulana wabaya(bad boys) wanaovuma humu jukwaani.

Anang'ata na kupuliza, kisha anakula.

Na vile wanawake mnapenda mateso, basi huchomoi.

Nadhani pia hao wavulana wabaya ndo wanasababisha single mothers.
🤣🤣🤣🤣 Wanawake wanapenda Sana mateso kwa kweli
 
Siku tatu tu ndio unalia lia, binafsi hata mimi niko hivo hivo sipendi kabisa kupigia simu mtoto wa mtu, kwa kifupi sipendi kupiga story kwenye simu labda niwe natoa taarifa au kupokea taarifa kuhusu jambo fulani, kama wewe unaamini kuongea ongea mara kwa mara kwenye simu ndio mapenzi mwache tu maana utalalamika sana na haita saidia ndio tulivo hivo hivo, hata mimi nimeachwa na madem wawili kisa swala hilo hilo nikasema fresh tu hata siwazi wala nini,
🤣🤣🤣😁
 
Habari zenu wana JF

Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )

Huu mwezi unaenda wa 5 niko na huyu Kijana nashindwa kumsoma kabisa sijui ni mahaba yamezidi kwake ama nimeanza kupoteza kujiamini..

Nilileta kisa kuwa huyu Kijana anatabia ya kuni ghost kiaina kitu ambacho kinaniweka dilemma..

Kwa upande wangu sijui kama nitakuwa ninakosea ama niko sawa

Hipo hivi, kutokana na mahusiano niliyopita nilishazoea hiki kitu kwamba mwanaume ndio ana jukumu la kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano.. nimezoea kupigiwa simu, kutumiwa sms na kujaliwajaliwa.. sasa huyu mtu niliempata sasa ni tofauti kabisaa hali inayonifanya nijisikie vibaya nihisi kama hanipendi

Nisiwe Muongo, huyu Kijana mara nyingi amekuwa akinitafuta yeye kunisalimia na kuongeaongea blablah.. mimi humtafuta mara chache sana na hiyo kama nikiona amenichunia sana ndio namtafuta

Kinachoninyima raha zaidii huyu jamaa yeye hapigagi Simu zaidii ya sms tu.. yaani kuchat, na siku ukiona amekupigia simu ujue ni siku mnaenda kuonana ndio atapiga simu kukuelekeza alipo ama mtakapoonana zaidii ya hapo hutopokea simu yake.. na Kama ukimpigia simu huwa hapokei atakutumia sms am busy

Jamani huyo ni mpnz gani ambae hamiss sauti ya mpnz wake, yaani husuniano letu tangu tuanze ni hivohivo.. sikatai anaweza kuwa ni mtu ambae hapendi kuongea na simu but mara mojamoja kuna shida gani kama tutaongea.. mimi sio kwamba siwezi kumtafuta ni naweza sana ila kuna yake mazingira siyaelewi kwake,, yaani nahisi kama hanipendi najipendekeza kwake , kwaiyo napata ugumu sana kuwa namtafutatafuta

Navowaambia Leo ni siku ya 2 hatujawasiliana… mimi kwakweli sijui ni kiburi ama ni nini nashindwa kumtafuta kabisaa akili yangu inaniambia kama ananipenda yeye ndio aniangaikie sio mimi kumuangaikia yeye

Na kila nikisema namuacha unakuta ananitafuta basi Kuna vitu ananiambia ambavyo vinanifanya nimuonee huruma, utasikia kuna vitu napitia tukionana nitakwambia basi naghairi ila ndio hivyo mpk now sijaonana nae kutokana na sababu za kikazi

Naombeni ushaurii kwa Hii changamoto ninayopitia… je ninachofanya Mimi ni sahihi kumuacha yeye aniangaikie kwanza,, je Kuna mahusiano kweli hapa au napotezewa muda
Kweli mwanaume anaekupenda anaweza kukaa hajakutafuta siku 3 wala haongeagi na simu na mpnz wake maana Hii imekuwa mpya kwangu
Shida ni kwamba wakati mnatongozana hamtushirikishi,mapenzi yakipamba moto napo hamtushirikishi yakianza kuleta sintofahamu ndio tunawaona mkipiga kelele
 
Kwenye kikao cha wanaume huyo jamaa ninakaa nae siti ya mbele. Kwa hiyo nenda nae hivyo hivyo tu
 
Achana na mume wa mtu mkuu
 
Dogo kaa utulie..jipe muda hata wiki au mwezi umsahau...
Make naona utapata changamoto ya akili siku si nyingi
 
Wanawake na isue za simu mnakela sana.mind your bussines,uko free call or sleep,naye akuwa free the same,but naisi utakuwa below 30.
 
Huyo ndio Mwanaume sasa, mshikirie usimuache, huyo ni jemedari, inaonekana ulizoea wale kuchi kuchi hotae sasa umekutana na bundersiliga.
 
Njoo kwangu nitakutumia sms kila saa na kukupenda sana njooh sweet achana na uyo kibaka.
 
hivi ndivyo mwanaume anavotakiwa kuwa.. km anakupelekea moto vema na anatimiza majukumu yake sawa we unataka nn?
 
Back
Top Bottom