Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

Apo kama chumbani unatoboa mbn amka saa tisa Anza safari
 
Wazeebwa makalukulation mwacheni huenda anaenda kuiuza uko,😄
 
Mkuu sikukatishi taa ila walau ungekuwa na pikipiki yenye mwendo walau kama BMW 1200 series and the likes.

Hizi pikipiki ndogo ukishaanza kuitafuta 100 vibrations ni nyingi.

Kitu cha pili sijui una uzoefu gani wa kuendesha safari ndefu, ila kama hauna basi tafadhali pakia tu pikipiki kwenye basi au lorry.
 
Mpwa wangu mmoja miaka ya nyuma wakati fekon zimetoka, alichukua pikipiki aende hapo gairo tu tokea dar.

Alianza safari Asubuhi, ilipofika saa 10 hivi baada ya dumila tukapokea taarifa jamaa kapata ajali yupo hoi, taya yote ya mbele ilisukwa upya na meno yalikokwenda hatujui.

Bega moja mpk leo ni bovu maana lilivunjika.

Chanzo cha ajali inasemekana ni uchovu toka kwenye ile vibration ya pikpik. Mwili ukawa numb, akapata usingizi, akachochora

Tumuombee dua mdau, lkn sio Rahisi hata kidogo kwa pikipik hizi za cc 125
 
Shukrani Kwa ushauri
 
Ila nakataa ndugu, niliinjoy sana kusafiria hii pikipiki barabarani imetulia sana kwakweli...!

Na kikubwa Haina mtetemo hata kidogo labda ukifika speed za juu huko pengine speed 100 kwenda juu . Ila Haina mtetemo kama sanLg au tBetter. Boxa ni mnyama asi kwambie mtu.​
 
Mkuu kwani tayari umeshafika Shy town
 
Tena ukiongea nao vzuri hicho chombo waweza safirisha kwa 60/70k
 
Polee sana
 
Mkuu huo ni mwendo wa Kobe, maana yake ni wastani wa Km 50 kwa saa. Nadhani waliokushauri usi
safiri nayo kwenda Shinyanga takribani Km 1000 walikuwa sahihi sana.
Yap.. nawashukuru sana Wana Jf kwakweli hili ni jungu kuu.
 
Usifanye ujinga huo.
Sio salama kwako.
Kama huna majukumu unaweza kufanya hivyo.

Hiyo barabara ni hatari sana.

Umewaza endapo ikitokea brekdown porini mfano Sekenke utafanyaje?.

Pkpk cc125 sio ya masafa marefu.

Jali uhai wako kijana
Mara paap, waya wa clutch umekatika pale darajani Sekenke[emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣Wote waliofanya hizi safari kuna mmoja kaenda kigoma mwingine Songea wote hao wameenda na wamerudi mmoja akiwa na TVS 150 mwingine Boxer BM 125 wamerudi wakilalamika uchovu wa makalio😄Mafuta gharama kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…