Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Prince Mhando Nita kuwa pale kolandoto hospital.
👉Naenda kumcheki mdau mmoja, so UTA nistua ukifika
👉Naenda kumcheki mdau mmoja, so UTA nistua ukifika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hizo km 650 ulizotembea kiongozi uliweka full tenki mara ngapi...maana nahisi safari yangu itakuwa na takribani km750 hivi...!Safari ya pikipiki masafa marefu ni nzuri kama unapenda kuenjoy mandhari ya njiani kama milima, misitu nk.. lakini changamoto kubwa iko kwenye mafuta.
Nilishawahi kufanya safari mara kadhaa kutoka hapa Dodoma kwenda mikoa ya jirani kwa pikipiki changamoto kubwa ni mafuta ujipange
Niliwahi kusafiri umbali wa zaidi ya km650 kwa siku moja cha msingi hakikisha una kofia ngumu, koti zito, miwani inayofunika macho kuzuia upepo, gloves, na viatu hasa buti pia hakikisha umefanya service ya pikipiki yako na kukagua kila kitu kuanzia tires, chain,engine oil nk.
Andaa budget ya mafuta maana kwa kawaida pikipiki haili mafuta sana ila unaposafiri masafa marefu lazima utakimbia speed kubwa muda mrefu hivyo mafuta yanatumika sana usishangae unajaza full tank hata mara tatu au zaidi mpaka kufika unakoenda.
shukrani ndugu nitafurahi sana kukufahamu...Prince Mhando Nita kuwa pale kolandoto hospital.
👉Naenda kumcheki mdau mmoja, so UTA nistua ukifika
Niliweka full tank mara mbili mpaka nafikakwa hizo km 650 ulizotembea kiongozi uliweka full tenki mara ngapi...maana nahisi safari yangu itakuwa na takribani km750 hivi...!
unatumiaga masaa mangapi hadi dodoma...?BOXER kijora ni toleo la boxer jepesi sana hasa chombo kikiwa kwenye mwendo.
ingekua ile BM X (domo la mamba) ile kidogo amani ila hii nyeusi Kijora mkuu ushauri wangu ni mmoja.
Helmet uvae, huo mwili uzungushie kila unachoweza uzungushia yani ji kave haswa hata likitokea la kutokea udunde kama kitenesi tu. (sikuombei hayo)
ila unafika vizuri sana mimi naendaga dodoma Straight yani nikitoka Dar naenda piga break Moro then nikiamsha ni break dodoma go n return.
Japo situmiii BOXER ila pikipiki inafika popote pale ujue tu kuzingatia Oil,Service na usalama wako binafsi.
Binafsi japo nina kagari kama kale ka Mr. Bean lakini napenda sana kusafiri kwa pikipiki maana huwa nawahi sana hakuna zile jam za traffic hata zile sehemu za kupita kwa 50km mie napita na 100BOXER kijora ni toleo la boxer jepesi sana hasa chombo kikiwa kwenye mwendo.
ingekua ile BM X (domo la mamba) ile kidogo amani ila hii nyeusi Kijora mkuu ushauri wangu ni mmoja.
Helmet uvae, huo mwili uzungushie kila unachoweza uzungushia yani ji kave haswa hata likitokea la kutokea udunde kama kitenesi tu. (sikuombei hayo)
ila unafika vizuri sana mimi naendaga dodoma Straight yani nikitoka Dar naenda piga break Moro then nikiamsha ni break dodoma go n return.
Japo situmiii BOXER ila pikipiki inafika popote pale ujue tu kuzingatia Oil,Service na usalama wako binafsi.
kumbe tunaogopa tu....kwa gharama hiyo ni sawa tu na safari yangu maana na mimi itanibidi niwe na akiba ya pesa za ziada...kwa hesabu zangu nilikuwa nawaza kuweka full tenki mara 2. mara ya kwanza nikiwa na toka harafu naweka tena nikifika dodoma....!Niliweka full tank mara mbili mpaka nafika
Usifanye ujinga huo.hapana natokea Dar es salaam...nategemea kutoka hapa dar es salaam kesho alfajiri.
shukrani sana kiongozi je...wewe ulikuwa unatumia cc125 kama yangu kwa safari zako za dodoma...?Ukiwa main Road Vuta mafuta haswa usitembee na pikipiki main road kama unasindikiza Harusi Vuta wese haswa na ongeza umakin.
Main Road madereva malori wengi ni utingo kuwa makini nao hawana mzaha wanakusinya kweli ukijipendekeza.
BUS likikupgia HONI kaa pembeni usishindane nalo, madereva mabus akikupgia honi ukijifanya kiziwi anaku overtake halafu anarudi kukupa ubavu anakutupa chini yeye kashapepea.
Ni machizi wale akikupgia Honi moja kaa kushoto muache aende kisha rudi road endelea.
Madereva mabus na Coaster ndio chanzo cha ajali sana usiwazoee ukiwaona tu kwa side mirror kaa pemben.
cc 150shukrani sana kiongozi je...wewe ulikuwa unatumia cc125 kama yangu kwa safari zako za dodoma...?
shukrani sana....kibwa bajeti yangu ni ndogo bila hivyo siwezi kumudu masafa ya huko kwani nikifika nategemea kuzunguka sana...hivyo nilidhani kwenda na pikipiki yangu kutaniepushia gharama za nauli huko vijijini...Usifanye ujinga huo.
Sio salama kwako.
Kama huna majukumu unaweza kufanya hivyo.
Hiyo barabara ni hatari sana.
Umewaza endapo ikitokea brekdown porini mfano Sekenke utafanyaje?.
Pkpk cc125 sio ya masafa marefu.
Jali uhai wako kijana
Usifanye ujinga huo.
Sio salama kwako.
Kama huna majukumu unaweza kufanya hivyo.
Hiyo barabara ni hatari sana.
Umewaza endapo ikitokea brekdown porini mfano Sekenke utafanyaje?.
Pkpk cc125 sio ya masafa marefu.
Jali uhai wako kijana
pikipiki mkuu ukimiliki unaweza jikuta hutamani magari.Binafsi japo nina kagari kama kale ka Mr. Bean lakini napenda sana kusafiri kwa pikipiki maana huwa nawahi sana hakuna zile jam za traffic hata zile sehemu za kupita kwa 50km mie napita na 100
Km 750 unaishia Singida au?kwa hizo km 650 ulizotembea kiongozi uliweka full tenki mara ngapi...maana nahisi safari yangu itakuwa na takribani km750 hivi...!
Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia.
Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na kurudi....
View attachment 2760635.
Kama unalazimika, basi nikutakie safari njemashukrani sana....kibwa bajeti yangu ni ndogo bila hivyo siwezi kumudu masafa ya huko kwani nikifika nategemea kuzunguka sana...hivyo nilidhani kwenda na pikipiki yangu kutaniepushia gharama za nauli huko vijijini...
nakushukuru sana...ndugu yangu unanifanya niamini kuwa kumbe inawezekana...na je morogoro hakuna kupita mbuga za wanyama...?Usiruhusu gari yoyote ikae nyuma yako make sure mwendo wako ni kibati gari ikija nyuma iruhusu ipite ikigoma Jua huyo mtaka ligi,kaa pembeni akupite.
Usikubali kuona gari ipo nyuma yako muda wote angalia mirror yako kama kuna gari nyuma unaweza iruhusu iruhusu,kama huwezi kaa pembeni ikupite usitake kabisa kuwa kama upo kwenye msafara.
anaekuja nyuma apite zake, akipita nawewe vuta Wese mwendo ni ule ule Kibati 100 ila hicho kijora hicho kua makini.