Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

BOXER kijora ni toleo la boxer jepesi sana hasa chombo kikiwa kwenye mwendo.

ingekua ile BM X (domo la mamba) ile kidogo amani ila hii nyeusi Kijora mkuu ushauri wangu ni mmoja.

Helmet uvae, huo mwili uzungushie kila unachoweza uzungushia yani ji kave haswa hata likitokea la kutokea udunde kama kitenesi tu. (sikuombei hayo)

ila unafika vizuri sana mimi naendaga dodoma Straight yani nikitoka Dar naenda piga break Moro then nikiamsha ni break dodoma go n return.

Japo situmiii BOXER ila pikipiki inafika popote pale ujue tu kuzingatia Oil,Service na usalama wako binafsi.
 
Safari ya pikipiki masafa marefu ni nzuri kama unapenda kuenjoy mandhari ya njiani kama milima, misitu nk.. lakini changamoto kubwa iko kwenye mafuta.
Nilishawahi kufanya safari mara kadhaa kutoka hapa Dodoma kwenda mikoa ya jirani kwa pikipiki changamoto kubwa ni mafuta ujipange
Niliwahi kusafiri umbali wa zaidi ya km650 kwa siku moja cha msingi hakikisha una kofia ngumu, koti zito, miwani inayofunika macho kuzuia upepo, gloves, na viatu hasa buti pia hakikisha umefanya service ya pikipiki yako na kukagua kila kitu kuanzia tires, chain,engine oil nk.
Andaa budget ya mafuta maana kwa kawaida pikipiki haili mafuta sana ila unaposafiri masafa marefu lazima utakimbia speed kubwa muda mrefu hivyo mafuta yanatumika sana usishangae unajaza full tank hata mara tatu au zaidi mpaka kufika unakoenda.
kwa hizo km 650 ulizotembea kiongozi uliweka full tenki mara ngapi...maana nahisi safari yangu itakuwa na takribani km750 hivi...!
 
BOXER kijora ni toleo la boxer jepesi sana hasa chombo kikiwa kwenye mwendo.

ingekua ile BM X (domo la mamba) ile kidogo amani ila hii nyeusi Kijora mkuu ushauri wangu ni mmoja.

Helmet uvae, huo mwili uzungushie kila unachoweza uzungushia yani ji kave haswa hata likitokea la kutokea udunde kama kitenesi tu. (sikuombei hayo)

ila unafika vizuri sana mimi naendaga dodoma Straight yani nikitoka Dar naenda piga break Moro then nikiamsha ni break dodoma go n return.

Japo situmiii BOXER ila pikipiki inafika popote pale ujue tu kuzingatia Oil,Service na usalama wako binafsi.
unatumiaga masaa mangapi hadi dodoma...?
 
Ukiwa main Road Vuta mafuta haswa usitembee na pikipiki main road kama unasindikiza Harusi Vuta wese haswa na ongeza umakin.

Main Road madereva malori wengi ni utingo kuwa makini nao hawana mzaha wanakusinya kweli ukijipendekeza.

BUS likikupgia HONI kaa pembeni usishindane nalo, madereva mabus akikupgia honi ukijifanya kiziwi anaku overtake halafu anarudi kukupa ubavu anakutupa chini yeye kashapepea.

Ni machizi wale akikupgia Honi moja kaa kushoto muache aende kisha rudi road endelea.

Madereva mabus na Coaster ndio chanzo cha ajali sana usiwazoee ukiwaona tu kwa side mirror kaa pemben.
 
Binafsi japo nina kagari kama kale ka Mr. Bean lakini napenda sana kusafiri kwa pikipiki maana huwa nawahi sana hakuna zile jam za traffic hata zile sehemu za kupita kwa 50km mie napita na 100
 
hapana natokea Dar es salaam...nategemea kutoka hapa dar es salaam kesho alfajiri.
Usifanye ujinga huo.
Sio salama kwako.
Kama huna majukumu unaweza kufanya hivyo.

Hiyo barabara ni hatari sana.

Umewaza endapo ikitokea brekdown porini mfano Sekenke utafanyaje?.

Pkpk cc125 sio ya masafa marefu.

Jali uhai wako kijana
 
Ukiwa main Road Vuta mafuta haswa usitembee na pikipiki main road kama unasindikiza Harusi Vuta wese haswa na ongeza umakin.

Main Road madereva malori wengi ni utingo kuwa makini nao hawana mzaha wanakusinya kweli ukijipendekeza.

BUS likikupgia HONI kaa pembeni usishindane nalo, madereva mabus akikupgia honi ukijifanya kiziwi anaku overtake halafu anarudi kukupa ubavu anakutupa chini yeye kashapepea.

Ni machizi wale akikupgia Honi moja kaa kushoto muache aende kisha rudi road endelea.

Madereva mabus na Coaster ndio chanzo cha ajali sana usiwazoee ukiwaona tu kwa side mirror kaa pemben.
shukrani sana kiongozi je...wewe ulikuwa unatumia cc125 kama yangu kwa safari zako za dodoma...?
 
Usiruhusu gari yoyote ikae nyuma yako make sure mwendo wako ni kibati gari ikija nyuma iruhusu ipite ikigoma Jua huyo mtaka ligi,kaa pembeni akupite.

Usikubali kuona gari ipo nyuma yako muda wote angalia mirror yako kama kuna gari nyuma unaweza iruhusu iruhusu,kama huwezi kaa pembeni ikupite usitake kabisa kuwa kama upo kwenye msafara.

anaekuja nyuma apite zake, akipita nawewe vuta Wese mwendo ni ule ule Kibati 100 ila hicho kijora hicho kua makini.
 
Usifanye ujinga huo.
Sio salama kwako.
Kama huna majukumu unaweza kufanya hivyo.

Hiyo barabara ni hatari sana.

Umewaza endapo ikitokea brekdown porini mfano Sekenke utafanyaje?.

Pkpk cc125 sio ya masafa marefu.

Jali uhai wako kijana
shukrani sana....kibwa bajeti yangu ni ndogo bila hivyo siwezi kumudu masafa ya huko kwani nikifika nategemea kuzunguka sana...hivyo nilidhani kwenda na pikipiki yangu kutaniepushia gharama za nauli huko vijijini...
 
Umetoka saa ngapi Church we mzee wa kanisa?
Usifanye ujinga huo.
Sio salama kwako.
Kama huna majukumu unaweza kufanya hivyo.

Hiyo barabara ni hatari sana.

Umewaza endapo ikitokea brekdown porini mfano Sekenke utafanyaje?.

Pkpk cc125 sio ya masafa marefu.

Jali uhai wako kijana
 
Binafsi japo nina kagari kama kale ka Mr. Bean lakini napenda sana kusafiri kwa pikipiki maana huwa nawahi sana hakuna zile jam za traffic hata zile sehemu za kupita kwa 50km mie napita na 100
pikipiki mkuu ukimiliki unaweza jikuta hutamani magari.

Upate pikipiki yenye nguvu,lazima ufurahie maisha mjini maana pikipiki haina TOCHI.

Unawapita Trafki unawawashia TAA na ni mchana wanakaa pembeni wenyewe na Mwendo uliowapita nao wakikuangalia wanashika kichwa.
 
Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia.

Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na kurudi....

View attachment 2760635.

Vipi mdau, hapa hospitali ya shinyanga tukuandalie kitanda cha wodi ipi mkuu?? Chafua Wodi ya wagonjwa wa ajali? ICU? Wodi ya wagonjwa wa mfumo wa upumuaji??
 
shukrani sana....kibwa bajeti yangu ni ndogo bila hivyo siwezi kumudu masafa ya huko kwani nikifika nategemea kuzunguka sana...hivyo nilidhani kwenda na pikipiki yangu kutaniepushia gharama za nauli huko vijijini...
Kama unalazimika, basi nikutakie safari njema
 
Usiruhusu gari yoyote ikae nyuma yako make sure mwendo wako ni kibati gari ikija nyuma iruhusu ipite ikigoma Jua huyo mtaka ligi,kaa pembeni akupite.

Usikubali kuona gari ipo nyuma yako muda wote angalia mirror yako kama kuna gari nyuma unaweza iruhusu iruhusu,kama huwezi kaa pembeni ikupite usitake kabisa kuwa kama upo kwenye msafara.

anaekuja nyuma apite zake, akipita nawewe vuta Wese mwendo ni ule ule Kibati 100 ila hicho kijora hicho kua makini.
nakushukuru sana...ndugu yangu unanifanya niamini kuwa kumbe inawezekana...na je morogoro hakuna kupita mbuga za wanyama...?
 
Back
Top Bottom