Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Tuache na atakavyorudi south akukute bado unakula, je ukishatafunwa marinda na Mume wake akimwacha unaweza kumhudumia yeye na watoto wake au unataka mbunye tu ?
Unanichukulia simpo eti
 
kuna askari aliathirika, kwa usiri bila kumtaarifu mkewe,, akawa anaenda kozi miez 3 hata 6

vijana wakawa wanajilia yule mrembo na alikuwa mzuriii sasa swali likaja kitaani

kila aliedate na yule mwanamke aliugua ngoma na kufa,

yule mjeshi akirudi majirani kwa umbea wanamwambia kila kitu na yeye anajibu hilo jambo ninalijua na wanaoichezea ndoa yangu nawajua na sina shaka nalo unataka nichukue hatua gani kwani?

akiingia ndani kwake full peace na mkewe.



sasa nyie panya endeleenu
 
Poteleapote
 
JF iangalie mbinu za kutoruhusu watu kujiunga bila kuhakikiwa umri, inaweza saidia punguza utititri wa ujinga tukabakiwa na mada zenye mshindo.

Au hata maswali ya kupima uwezo wa kufikiri basi.
Kisa wewe jogoo hawiki ndomana unaproduce shit, ingeweza kusimama Walau kwa dk moja tu uone utamu wa K ulivyo [emoji39].
 
Kukupiga sio lazima atumie mikono yake anaweza akakupiga kwa kutumia hata watu, kua makini mzee, Kimbia kabla hujakuja na uzi mpya hapa "Yaliyo nikuta baada ya kutembea na mke wa mtu"
 
Jamaa anapanga kutembea nawewe pia, mipango ishapangwa na mratibu mkubwa wa huu mpango nihuyo jamaa aliyemwambia kuhusu wewe kutembea na mkewake,

Kwahiyo siku ukipwayungiwa uje useme hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…