Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Fake story. Ingekuwa kweli usingeiweka humu na ungekuwa umeshaacha!
 
Mm mwenyewe toto la town nimezaliwa tandale nimesoma manzese sekondari advance nikasoma Benjamin chuo nimesoma UDSM saizi nakaa Buguruni
Kama mimi tu! Kumbe ndo maana nazimika kwa wake za watu na wao wananikubali! Basi Manzese kuna ka pepo ka ujasiri kanatusumbua!
[emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo juzi ndoleo. Au kusafiri kutoka marangu mpaka Dar unatumia miaka mingapi mkuu
Saw bas mkuu nimekuelewa bas tuwaaache hawa wake za watu kmmk tutakuja fumuliwa rinda HV HV mm leo aabh niliwaza nikaona sioni sababu niendele kuhujumu hi ndoa ya watu acha nimteme mazima na sita kuwa karibu nae Tena penz alilonipa unatosha
 
Ngoja jamaa akutege na hii!
Your browser is not able to display this video.
 
Hii nchi bhana, ukipata bahati ya kupendwa, nyota imekuwakia watu wanaanza shobo, majungu na wivu tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa kauli hii tu, umethibitisha story yako si yank6weli. Unatuchezea akili tu!
 
Kama ni Mimi nisingekuonya ningekupiga petroli na kiberiti....tena ww unaeshia njian simuliz zako
 
Yaani kuna jamaa alikuwa kama ww hivyo hivyo akaonywa mara 3 alikaidi cku alakamatwa na mwenye mke akapigwa ngumi moja laini kwenye chembe ndio basi hiyo pakaoza ile sehemu na ndio kifo chake kikawa hicho cha kujitakia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaaah.
Alfu wew cheka cheka tu hapa wakt mke yule anaenipa utamu wa mume wake Ni mngoni mwezako yaani mngoni Hana shida yule mpk 0713 ananipa niingize kidgo tu ila siyo lote lizame acha kbsaa mngoni kadatana mm na simpi hata Mia mbovu wangoni hoee
 
wake wa watu watamuu, mi nikigunduwa mumewe kanijuwa huwa naleft chat, eti unaenda hadi kwake alooo iyo ni hatari
 
Unakera mwanangu hivi ukigongewa wewe utajisikiaje, acha ujinga
 
Yaani kuna jamaa alikuwa kama ww hivyo hivyo akaonywa mara 3 alikaidi cku alakamatwa na mwenye mke akapigwa ngumi moja laini kwenye chembe ndio basi hiyo pakaoza ile sehemu na ndio kifo chake kikawa hicho cha kujitakia
Duh kisa mke wako tu unatoa umauti wa binadamu mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…