π π π π True kwa kilimanjaroNadhani tittle lilipaswa kusomeka
Crisis in Kilimanjaro! Vijijini hakuna watu wamebaki wazee wachache na vijana hopeless walevi kupindukia!
Tuna uhakika buashee kule migombani nguvu kazi ni wapare, wachagga waliopo ni wachache na wanasaidiwa.Mna uhakika na hili ?
Ungeenda direct tu kwenye point unataka watu wazaliane kama sungura,Nimetembelea vingi sana along my travels.., vijumba ni vichache pia.., sasa unajiuliza , hawatu milioni 60 wanaishi juu ya mibugu.., mbona nyumba zipo soo scarce.., yapo mapori mpaori tu , hata kulimwa hayalimwi, kwanza hiko chakula cha kulisha watu milioni 60 kinatoka wapi? Mimi nakataa , hii nchi tukizidi sana tupo laki5 , no way!!!
Dunia ina watu bilioni 8, hata wakipungua nusu na kubaki watu bilioni 4 bado ni watu wengi sana.Dunia tu imeanza kupungua idadi ya watu.
Elon musk ameshastuka anajenga kijiji, wake zake woote awaweke eneo moja kisha kazi iwe kuwapanda na kuzalisha.
Tate anakwambia plan yake awe na watoto 70.
Magufuli aliposema fyatueni, hakua anafanya masikhara, duniani hakuna watu.
Trump anapiga marufuku ushoga, mijitu haistuki tu, ipo bize kusikiliza yanga na simba na srekari.
Bro! Ukipata nafasi ya kuzalisha, we zalisha, uwe na uwezo wa kuwatunza
Idadi ya vijana unao wasemea haiwezi kufika 30 million!Ukitaka kujua nchi ina vijana wangapi tangaza ajira kila mkoa tarehe ya interview iwe moja. Vigezo usiweke vigumu na mshahara ahidi mzuri kwa level zote kuanzia drs la 7 hadi degree.
Mkuu ondoa hofu watu vijana kijijini wapo...Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisaβ¦, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!
Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!
Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Tatizo sio kwamba watu hawapo!Mkuu ondoa hofu watu vijana kijijini wapo...
Siku nyingine ukienda kijijini tegea siku yenye mechi kali tafuta kibandaumiza utashangaa,
Ila kwenye pombe hapo kwa kweli vijana tumekwisha(kina mulokozi wanatembea na fursa).
Ila pia mtawanyiko wa watu unategemea fursa za eneo, kuna maeneo kwa kijana anajitambua lazima alale mbele.
We uliwahesabu lini?! Hii sensa ya kufadhiliwa na wamarekani na billgates sio ya kuamini, nina mashaka makubwa tumeshapunguzwa sana! Mabibi zangu wote walizaa watoto 10+ , siku hizi watu wanauziwa P2 kama karanga, hoplessness!!! Visungura vinaletea watu uhanithi, watazaa vipi kama hawasimamishi?! Hii nchi tunathamini kodi kuliko afya kweli?!!!
Abortion imekuwa kama kungβoa jino.., wat has become of us!!! Watu wako wapi, bar hazijazisiku hizi kama zamani, why?! Show za wasanii hazijai.., mikutano ya wanasiasa ni empty!! Mechi za mpira mikoani empty!!! Walioa kodi eti ni milioni 2!!! Wengine wako wapi?!
Kwenye bodaboda,Idadi ya vijana unao wasemea haiwezi kufika 30 million!
Je hao walio Baki 30 millions plus wako wapi?
Wewe unataka kusemaje kuhusu WANUJua Kali unataka uwaone watu Nje wakikaangwa kama Karanga?
Pesa hakuna unataka watu waende huko Bar kujiuza?
2030 ikifika, tutaongea kilughaKwenye bodaboda,
wamachinga,
Makondakta na wapiga debe,
Makuli,
Panya Road,
Wapaka rangi,
Bar maids
Hapa ndipo shida ilipo. Usidhani watu hawazai ukadhani ujingauwe na uwezo wa kuwatunza
Huyo anayesema crisis in kilimanjaro nadhani hajawah kufika huko , hebu ufanye uje kwanza ukianzia na rombo utembee kata zote za rombo then uje utoe mrejesho , otherwise acha kuongea nonsense
Atakua kaamkia bar yawezekana ni mlevi wa kupindukia. Akili mbovu kabisa.Mambo mengine yanachekesha Sana
Nyerere wakati anatawala nchi kulikuwa na watu mil 12 nchi nzima.
Leo anaibuka MTU hapa anadai Tanzania Ina watu laki 5 .
Kuna thread ukisoma unajua mtu kaamua kuchangamsha genge .
Nenda ofisi ya taifa ya takwimu ama wizara ya afya ama zunguka mahospitali yote tanzania, msisumbue watu, tukiwa pungufu ama zaid inakusaidia nini wewe na familia yako, wewe kama unaona watu pungufu umeruhusiwa kuoa wanawake hata 30, wazalishe wote watoto kumikumiTunaomba idadi ya watoto wa kike na WA kiume walio zaliwa siku ya Xmas !