National crisis: Vijijini hakuna watu kabisa, wamebaki wazee wachache na vijana walevi wa visungura

National crisis: Vijijini hakuna watu kabisa, wamebaki wazee wachache na vijana walevi wa visungura

Nadhani tittle lilipaswa kusomeka
Crisis in Kilimanjaro! Vijijini hakuna watu wamebaki wazee wachache na vijana hopeless walevi kupindukia!
😅😅😅😅 True kwa kilimanjaro
Mna uhakika na hili ?
Tuna uhakika buashee kule migombani nguvu kazi ni wapare, wachagga waliopo ni wachache na wanasaidiwa.
 
Kwanini? Serikali isiwaruhusu taasisi binafsi kufanya sensa ya watu na makazi kunaweza kuwa hatua muhimu katika kuhakikisha uwazi na uhalisia wa takwimu za idadi ya watu. Hapa kuna baadhi ya sababu za kwanini hatua hii inaweza kuwa na manufaa:

1. Uhakika wa Takwimu
Taasisi binafsi zinaweza kuleta mbinu tofauti za ukusanyaji wa data, na kwa hivyo zinaweza kutoa picha halisi zaidi ya idadi ya watu. Hii inaweza kusaidia kubaini ukweli kuhusu idadi ya watu na kuwepo kwa makazi.

2. Kujenga Uaminifu
Wakati wananchi wanapohisi kuwa takwimu za serikali haziko sahihi, kuhusisha taasisi zisizo za kiserikali kutasaidia kujenga uaminifu. Wananchi wataweza kujiridhisha na taarifa wanazopewa, na hivyo kuimarisha imani yao katika mchakato wa sensa.

3. Kujibu Maswali ya Kijamii
Kuwepo kwa sensa huru kutawasaidia wananchi kuhoji na kuelewa kwa undani masuala yanayohusiana na idadi ya watu, kama vile mtindo wa uhamiaji na mabadiliko ya makazi. Hii itasaidia katika kupanga sera bora za maendeleo.
4. Kuwezesha Mipango Bora ya Maendeleo
Takwimu sahihi zinahitajika ili kuandaa mipango ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Ikiwa idadi ya watu inajulikana kwa uhalisia, serikali na wadau wengine wataweza kupanga na kutekeleza miradi inayokidhi mahitaji halisi ya wananchi.

5. Kujenga Ushirikiano
Kuhusisha taasisi binafsi katika sensa kutajenga ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi, kuwezesha ufikivu wa rasilimali na utaalamu mbalimbali. Ushirikiano huu unaweza kuleta mabadiliko chanya katika ukusanyaji wa data.

Hitimisho
Hatimaye, kuruhusu taasisi binafsi kufanya sensa ya watu ni hatua muhimu ambayo inaweza kusaidia kulinda haki za wananchi na kuleta uwazi katika mchakato wa kukusanya taarifa. Serikali inahitaji kuzingatia mawazo haya ili kuweza kuboresha hali ya maisha ya watu na kuwa na takwimu zinazoweza kuaminika. Hii si tu itasaidia katika kubaini idadi halisi ya watu, bali pia itachangia katika maendeleo endelevu ya nchi.
 
Ukitaka kujua nchi ina vijana wangapi tangaza ajira kila mkoa tarehe ya interview iwe moja. Vigezo usiweke vigumu na mshahara ahidi mzuri kwa level zote kuanzia drs la 7 hadi degree.
 
Nimetembelea vingi sana along my travels.., vijumba ni vichache pia.., sasa unajiuliza , hawatu milioni 60 wanaishi juu ya mibugu.., mbona nyumba zipo soo scarce.., yapo mapori mpaori tu , hata kulimwa hayalimwi, kwanza hiko chakula cha kulisha watu milioni 60 kinatoka wapi? Mimi nakataa , hii nchi tukizidi sana tupo laki5 , no way!!!
Ungeenda direct tu kwenye point unataka watu wazaliane kama sungura,
Usizunguke sana.
 
Dunia tu imeanza kupungua idadi ya watu.

Elon musk ameshastuka anajenga kijiji, wake zake woote awaweke eneo moja kisha kazi iwe kuwapanda na kuzalisha.

Tate anakwambia plan yake awe na watoto 70.

Magufuli aliposema fyatueni, hakua anafanya masikhara, duniani hakuna watu.

Trump anapiga marufuku ushoga, mijitu haistuki tu, ipo bize kusikiliza yanga na simba na srekari.

Bro! Ukipata nafasi ya kuzalisha, we zalisha, uwe na uwezo wa kuwatunza
Dunia ina watu bilioni 8, hata wakipungua nusu na kubaki watu bilioni 4 bado ni watu wengi sana.
Mwaka 1960 dunia ilikuwa ina watu bilioni 3 tu.
 
Ukitaka kujua nchi ina vijana wangapi tangaza ajira kila mkoa tarehe ya interview iwe moja. Vigezo usiweke vigumu na mshahara ahidi mzuri kwa level zote kuanzia drs la 7 hadi degree.
Idadi ya vijana unao wasemea haiwezi kufika 30 million!
Je hao walio Baki 30 millions plus wako wapi?
 
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.

Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini? Miji yenyewe ya maana haifiki hata mitano.., tuelezwe, watu milioni 60 wapo wapi?!

Imagine hata sehemu kama Sinza na Tabata, now adays zinadorora hadi inashangaza, tofauti na miaka ya nyuma, usiku Sinza siku hizi ukioita hakuna tofauti na Mtwara vijijini, mapub yajo totally empty, taa tu zinawaka waka hopelessly?! Watu milioni 60 wako wapi?!

Sabasaba iliyopita nilienda, sikuamini nikichokiona, ita hopeless, tukiwahi kupelekwa sabasaba miaka ya nyuma na wazazi wetu, shamrashamra lake halikuwa la kawaida, ila this time around it was too sad, it felt unimaginably lonely, sooo hopeless, hakuna watu, watu milioni 60 wako wapi?!
Mkuu ondoa hofu watu vijana kijijini wapo...

Siku nyingine ukienda kijijini tegea siku yenye mechi kali tafuta kibandaumiza utashangaa,

Ila kwenye pombe hapo kwa kweli vijana tumekwisha(kina mulokozi wanatembea na fursa).

Ila pia mtawanyiko wa watu unategemea fursa za eneo, kuna maeneo kwa kijana anajitambua lazima alale mbele.
 
Mkuu ondoa hofu watu vijana kijijini wapo...

Siku nyingine ukienda kijijini tegea siku yenye mechi kali tafuta kibandaumiza utashangaa,

Ila kwenye pombe hapo kwa kweli vijana tumekwisha(kina mulokozi wanatembea na fursa).

Ila pia mtawanyiko wa watu unategemea fursa za eneo, kuna maeneo kwa kijana anajitambua lazima alale mbele.
Tatizo sio kwamba watu hawapo!
Hakuna watu 60 millions ❌❌❌❌❌
 
We uliwahesabu lini?! Hii sensa ya kufadhiliwa na wamarekani na billgates sio ya kuamini, nina mashaka makubwa tumeshapunguzwa sana! Mabibi zangu wote walizaa watoto 10+ , siku hizi watu wanauziwa P2 kama karanga, hoplessness!!! Visungura vinaletea watu uhanithi, watazaa vipi kama hawasimamishi?! Hii nchi tunathamini kodi kuliko afya kweli?!!!
Abortion imekuwa kama kung’oa jino.., wat has become of us!!! Watu wako wapi, bar hazijazisiku hizi kama zamani, why?! Show za wasanii hazijai.., mikutano ya wanasiasa ni empty!! Mechi za mpira mikoani empty!!! Walioa kodi eti ni milioni 2!!! Wengine wako wapi?!

Jua Kali unataka uwaone watu Nje wakikaangwa kama Karanga?

Pesa hakuna unataka watu waende huko Bar kujiuza?
 
Idadi ya vijana unao wasemea haiwezi kufika 30 million!
Je hao walio Baki 30 millions plus wako wapi?
Kwenye bodaboda,
wamachinga,
Makondakta na wapiga debe,
Wauza maji, juice, pipi na biskuti
Makuli,
Panya Road,
Wapaka rangi,
Bar maids
 
Huyo anayesema crisis in kilimanjaro nadhani hajawah kufika huko , hebu ufanye uje kwanza ukianzia na rombo utembee kata zote za rombo then uje utoe mrejesho , otherwise acha kuongea nonsense
 
Huyo anayesema crisis in kilimanjaro nadhani hajawah kufika huko , hebu ufanye uje kwanza ukianzia na rombo utembee kata zote za rombo then uje utoe mrejesho , otherwise acha kuongea nonsense
 

Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    110.5 KB · Views: 2
Mambo mengine yanachekesha Sana

Nyerere wakati anatawala nchi kulikuwa na watu mil 12 nchi nzima.

Leo anaibuka MTU hapa anadai Tanzania Ina watu laki 5 .

Kuna thread ukisoma unajua mtu kaamua kuchangamsha genge .
Atakua kaamkia bar yawezekana ni mlevi wa kupindukia. Akili mbovu kabisa.
 
Tunaomba idadi ya watoto wa kike na WA kiume walio zaliwa siku ya Xmas !
Nenda ofisi ya taifa ya takwimu ama wizara ya afya ama zunguka mahospitali yote tanzania, msisumbue watu, tukiwa pungufu ama zaid inakusaidia nini wewe na familia yako, wewe kama unaona watu pungufu umeruhusiwa kuoa wanawake hata 30, wazalishe wote watoto kumikumi
 
Back
Top Bottom