Mataifa makubwa 28 wameungana na kujaribu kuisogelea Urusi kwa ukaribu kisa uhatari wake kijana mropokaji wa mtogole unasema Russia ana maajabu gani?Bwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?
Hata aibu hamna majenral 20 wanakufa,wanajeshi 30,000 wamekufa alafu mnajifariji ,hii kitu haiingii akilini aisee
NATO is overrated-trumpBwashee k vant ya leo Kali kwa hiyo Russia umeona ni super power? Wana maajabu gani tangu waivamie Ukraine?
Hata aibu hamna majenral 20 wanakufa,wanajeshi 30,000 wamekufa alafu mnajifariji ,hii kitu haiingii akilini aisee
Kuna siku aliwahi kutangaza chochote juu ya athar anayopta toka aanze hivyo vita?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
NATO is overrated-trump
Walibwage tu haina jins[emoji41][emoji41][emoji41]NATO wametoa tamko kuwa kama ikitokea Russia akalipua kituo cha nyuklia ,basi ajue amevunja kifungu namba 5 cha NATO.
Hivyo NATO itachukulia jambo hilo kama direct provoked ,na linaashiria kuwalenga wanachama wa NATO.
Hivyo italazimu NATO kuingililia direct,hapa sasa ndio patamu maana NATO wanamtafutia Russia sababu ya kumchapa live.
Chanzo cha habari hii ni aljazeeera