Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Uimala wa kijeshi kwasasa, namba moja ni mrusi, namba mbili ni mchina na namba tatu ni muirani. Muizirael akianzisha vita na Iran atapigwa kama ngoma. Iran sio hamasiFafanua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uimala wa kijeshi kwasasa, namba moja ni mrusi, namba mbili ni mchina na namba tatu ni muirani. Muizirael akianzisha vita na Iran atapigwa kama ngoma. Iran sio hamasiFafanua
Una akili ndogo sanaKawaulize warusi wanaompiga putini ndani ya nchi yake watakwambia jinsi isivyovumilika kiuchumi kwa warusi
NonsenseZipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia.
Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale mwanzo ila wameamua kufanya kivingine na hii njia wanayotumia ni mbinu mpya ktk uwanja wa vita ambayo haijawahi tumika na kama imewahitumika basi uwenda Dunia haikuwahi kuambiwa na todate hiyo mbinu ni top top secret.
Jambo la kwanza la ajabu kabisa CIA wamelifanya nikutengeneza clip yenye kueleza kile kinaendelea Russia na kuwashawishi vijana kujiunga na CIA jambo ambalo ni lanamna yake. Video hiyo ni video inayo ongea kwa lugha ya kirusia.
Jambo lingine ambalo Dunia wameungana ni shearing ya real time secret information regarding Russian activity around the world na hii ni baada ya taarifa za siri kuvuja jamaa anasafirisha kwa siri silaha hatari za nyuklia. Na ili kuthibitisha hili hivi siku za karibu Mosssad wamegundua jambo la Siri ktk Taifa la Iran na wamejiridhisha kuwa Iran anajiandaa either pokea silaha hatari au anamalizia kutengeneza BOom hatari la nyuklia. Israel wamejibu na muda wowote kutoka sasa msishangae vita ikiibuka Kati ya Iran na Israel. Vita hii itakuwa mbaya sana ila ina malengo makuu mawili kama sio matatu.
Kuionya Urusi kuwa wanamuona na hawato acha kumjibu kwa nguvu zote. USA amesha mpa green light Israel kujiandaa na vita.
Pili kuirudisha nyuma Iran kwenye mpango wake wa nuclear
Kaangalie data za uchumi za RussiaMrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!
Hao unaowaita wameshajichokea hawatamani hata kusikiliza kelele za Zelensky.Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!
Urusi anahari ngumu, Kwa Sasa wako wanamsigina kwakeee.Wababe wote duniani tuko upande wa Russia na Putin wake.
Mashoga wote, na watumiaji wa madawa ya kulevya hawana uwezo wa kumshinda Urusi.
Sasa hivi Ukraine anaelekea Moscow, Putin amechanganyikiwaaHao unaowaita wameshajichokea hawatamani hata kusikiliza kelele za Zelensky.
Kwa uhakika PUTIN NA WASHIRIKA WAKE WAMEYUMBA TAYARIRussia ikisnxa kutandikwa na mkiiona inashindwa vita mnakuja na porojo za kila namna safari kiburi cha mrudi lazima kielekkwe na Putin lazima afungashwe virago
Alivyoligema atalinywa
No retreat no surrender hiyo ndio slogan ya Ukraine
Sijazungumzia NATO, Asante Kwa PongeziNikupongeze Kwa hili,,,, NATO hawakujua Kuna watoto na walemavu?
Itapigwa kama mbwa koko...Ila ndiyo tujiandaye na Parapanda...Israel asimshambulie Iran kwa sababu kuna matokeo mabaya sana kuzidi ya Ukrain
Usijibu kwa mahaba, fuatilia takwimu za uchumi wa Urusi kwa sasa, tena kutoka vyombo vya habari vya Urusi.Vitoto vingine bhana! [emoji1787][emoji1787]mrusi mnamchosha vipi kiuchumi?? Vikwazo mlivyoweka kwa mihemuko vimewaludia wenyewe
Sema kuwa ungependa iwe hivyo, lakini uhalisia haupo hivyo. Uhalisia huwa haufuati matamanio ya mtu.Uimala wa kijeshi kwasasa, namba moja ni mrusi, namba mbili ni mchina na namba tatu ni muirani. Muizirael akianzisha vita na Iran atapigwa kama ngoma. Iran sio hamasi
Ujasikia kuwa mafuta ya urusi, nchi za ulaya mnakwenda kuyanunulia india kwa kutoa cha juu?Usijibu kwa mahaba, fuatilia takwimu za uchumi wa Urusi kwa sasa, tena kutoka vyombo vya habari vya Urusi.
Uchumi wa Urusi unaanguka japo siyo kwa speed waliyotegemea nchi za Magharibi.
Sarafu ya Urusi nayo inazidi kuanguka baada ya mwakajana kupanda kwa kiwango cha juu kuliko sarafu zote Duniani. Hiyo ilitokana na Urusi kuyalazimisha mataifa yote yaliyokuwa yananunua mafuta na gas ya Russia, lazima yafanye malipo kwa sarafu ya Urusi.
Sasa kilichotokea ni mataifa ya Magharibi kuacha kununua mafuta na gas ya Urusi. Mauzo ya mafuta ya Urusi yameanguka kwa 41%, na hivyo hata mahitaji ya sarafu ya Urusi hayapo tena.
Mnunuzi mkuu wa mafuta ya Urusi, India, naye amewekewa masharti ma nchi za Magjaribi. Hataruhusiwa kuuza products zozote za mafuta kwa nchi za Magharibi kwa sababu zitakuwa zimetokana na mafuta ya Russia. India nayo sasa ipo njiapanda kwa sababu soko kubwa la products za mafuta ni Ulaya Magharibi.
Haya weka huo uhalisia unaousema. Nakukumbusha tu kuwa nchi mbili tu duniani ndizo zinazomiliki Panasonic missiles ambazo hazina kizuizi chochoteSema kuwa ungependa iwe hivyo, lakini uhalisia haupo hivyo. Uhalisia huwa haufuati matamanio ya mtu.