Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

Kaangalie data za uchumi za Russia
Russia's economy shrank 1.9% year-on-year in the first quarter of 2023, data from the Rosstat federal statistics service showed on Wednesday, following growth of 3% in the same period of last year.
 
Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!
Hakuna vita nzuri. Hao US leo ndiyo wamejiokoa kikomo cha kukopa kidogo itikiswe vibaya mno. Tusiombee vita rasmi ya Russia na NATO ni maafa kwa dunia. Russia pia tayari kautikisa uchumi wa dunia ukiwemo wa Ulaya na Marekani.🙏🙏🙏
 
Hakuna siku itatokea Israel ataivamia Iran.

Israel ni muoga mmoja tu aliyejificha kwenye mgongo wa USA na humtegemea USA muda wote.
Wewe umezaliwa juzi naona. Hata hujui chochote nyuma ya wakati uliopo.

Timeline: Israeli Attacks on Iran

January 30, 2023

Since 2010, Israel has allegedly conducted at least two dozen operations – including assassinations, drone strikes and cyberattacks – on Iran. Most of the targets were connected to Tehran’s controversial nuclear program, which Israel considers an existential threat. In 2022, however, two facilities that were part of Iran’s increasingly advanced drone program were hit by drones. Israel has also reportedly targeted military commanders responsible for operations abroad. The following is a timeline of attacks on Iran allegedly carried out by Israel since 2010.

Shambulio la mwisho la Israel kwa Iran limefanyika mwaka huu 2023:

Jan. 28, 2023: Suicide drones equipped with explosives struck a military facility in central Isfahan just before midnight. Israel’s Mossad intelligence organization was reportedly responsible. The site was an advanced weapons-production facility. The operation was a major success, foreign intelligence sources told The Jerusalem Post.
 
Haya weka huo uhalisia unaousema. Nakukumbusha tu kuwa nchi mbili tu duniani ndizo zinazomiliki Panasonic missiles ambazo hazina kizuizi chochote
Mtengenezaji wa silaha, anapotengeneza silaha anajitahidi iwe bora zaidi kuliko nyingine zote. Lakini uhalisia haupo hivyo, kwa sababu na wenzako wanafikiria namna ya kupambana na hiyo silaha.

Wakati wa vita ya NATO dhini ya Slobodan Milosevic wa Yugoslavia, NATO walitumia ndege zilizonunuliwa US za latest version zilizoitwa Invisible. Ziliitwa invisible kwa sababu mtengenezaji ambaye ni US alisema haiwezi kuonekana kwenye mitambo yoyote ya radar, lakini jeshi la Yugoslavia lilifanikiwa kuidungua moja.

Urusi wanasema kuwa makombora yao ya hyppersonic hayawezi kudunguliwa na mitambo yoyote ya ulinzi wa anga, tayari Ukraine wameweza kulidungua moja katika 6 yaliyorushwa na Urusi.

Na hiyo hypersonic haielezei ubora bali speed pekee. Kombora linaloongoza kwa hatari ni LGM-30 Minuteman III. Hilo linaongoza kwa destruction na precision.

Na anti-hypersonic system inayoongoza kwa ubora wa kutungua makombora ya hypersonic ni The Arrow 3 or Hetz 3, ya Israel.

Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system

LIVE

Open the menu

News|Russia-Ukraine war

Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system

Air-launched ballistic missile that can reach speeds of up to Mach 10 is capable of carrying nuclear or conventional warheads.

Video Duration 01 minutes 02 seconds01:02

Published On 6 May 20236 May 2023

Ukraine downed a Russian hypersonic missile over the capital Kyiv using a newly acquired US Patriot defence system in what would be a first in its ability to intercept one of Moscow’s most modern weapons.

The Kinzhal missile is one of the latest and most advanced Russian weapons. Its military says the air-launched ballistic missile has a range of up to 2,000km (1,250 miles) and flies at 10 times the speed of sound, making it hard to intercept.

A combination of hypersonic speed and a heavy warhead allows the Kinzhal to destroy heavily fortified targets, such as underground bunkers or mountain tunnels.
 
USHOGA???

Usikute hata wewe mwenyewe ni shoga kwa sababu ushoga sio Taifa ila mtu!

Wapo warusi mashoga, wapo waislam mashoga na wakristo mashoga!

USHOGA ni mtu na siyo Taifa wala umoja wa nchi fulani, wamarekeni wapo mashoga na wasio mashoga, watanzania mashoga na wasio mashoga

Unadhani Tanzania ikiwa pro Russia ndo itaokoka na baadhi ya watu kuwa mashoga?
Wewe naye hujui kitu kwani wanaotoa mafunzo na kukusanya madodoso ni Nani
 
Hakuna vita nzuri. Hao US leo ndiyo wamejiokoa kikomo cha kukopa kidogo itikiswe vibaya mno. Tusiombee vita rasmi ya Russia na NATO ni maafa kwa dunia. Russia pia tayari kautikisa uchumi wa dunia ukiwemo wa Ulaya na Marekani.[emoji120][emoji120][emoji120]
Umenena ukweli.

Kwa ujumla kwenye vita, hata kama utashinda, lazima utapata madhara, labda tu mtatofautiana kwenye kiwango cha madhara.
 
Mtengenezaji wa silaha, anapotengeneza silaha anajitahidi iwe bora zaidi kuliko nyingine zote. Lakini uhalisia haupo hivyo, kwa sababu na wenzako wanafikiria namna ya kupambana na hiyo silaha.

Wakati wa vita ya NATO dhini ya Slobodan Milosevic wa Yugoslavia, NATO walitumia ndege zilizonunuliwa US za latest version zilizoitwa Invisible. Ziliitwa invisible kwa sababu mtengenezaji ambaye ni US alisema haiwezi kuonekana kwenye mitambo yoyote ya radar, lakini jeshi la Yugoslavia lilifanikiwa kuidungua moja.

Urusi wanasema kuwa makombora yao ya supersonic hayawezi kudunguliwa na mitambo yoyote ya ulinzi wa anga, tayari Ukraine wameweza kulidungua moja katika matatu yaliyorushwa na Urusi.

Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system

LIVE

Open the menu

News|Russia-Ukraine war

Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system

Air-launched ballistic missile that can reach speeds of up to Mach 10 is capable of carrying nuclear or conventional warheads.

Video Duration 01 minutes 02 seconds01:02

Published On 6 May 20236 May 2023

Ukraine downed a Russian hypersonic missile over the capital Kyiv using a newly acquired US Patriot defence system in what would be a first in its ability to intercept one of Moscow’s most modern weapons.

The Kinzhal missile is one of the latest and most advanced Russian weapons. Its military says the air-launched ballistic missile has a range of up to 2,000km (1,250 miles) and flies at 10 times the speed of sound, making it hard to intercept.

A combination of hypersonic speed and a heavy warhead allows the Kinzhal to destroy heavily fortified targets, such as underground bunkers or mountain tunnels.
Wewe jamaa una vichekesho sana🤣🤣🤣 Eti Ukraine wamedungua Panasonic 🤣🤣🤣. Hivi mnadanganyika au mnafanya makisudi?
 
Wewe jamaa una vichekesho sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti Ukraine wamedungua Panasonic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hivi mnadanganyika au mnafanya makisudi?

Unapewa elimu, unaita vichekesho. Ukipewa vichekesho ndiyo utaita elimu?

Hilo kombora haliitwi panasonic au supersonic ni hypersonic, ndilo lenye speed kubwa kabisa. Hakuna kombora ambalo linaitwa panasonic, bali yapo ambayo ni supersonic na hypersonic.

Wewe na mimi siyo watengenezaji wa hayo makombora.

Dunia hii ina kila elimu ukiamua kutafuta elimu, au unaweza kuukumbatia ujinga, ukitaka.

Russia imerusha makombora 6 ya hypersonic nchini Ukraine tangu vita ianze. Manne yalikosa target. Moja lilipiga target ambayo ilikuwa ni ghala la silaha la Ukraine lililokuwa chini ya ardhi. Moja lilidunguliwa. Na tangu lidunguliwe, hakuna jingine ambalo limerushwa.
 
Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!

Nani kakwambia mRusi anachoshwa kiuchumi? Chukua hii, Russia ana natural economy, USA ana paper economy, two things different mzee, Mwenye kuumia hapo ni USA na washirika wake zaidi, Russia vita yake na UKRAIN wanaoumia ni Europe pamoja na shoga yao USA
 
Russia's economy shrank 1.9% year-on-year in the first quarter of 2023, data from the Rosstat federal statistics service showed on Wednesday, following growth of 3% in the same period of last year.
What about German? The european economic super power!

BERLIN, May 25 (Reuters) - The German economy was in recession in early 2023 after household spending in Europe's economic engine finally succumbed to the pressure of high inflation.
 
Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia.

Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale mwanzo ila wameamua kufanya kivingine na hii njia wanayotumia ni mbinu mpya ktk uwanja wa vita ambayo haijawahi tumika na kama imewahitumika basi uwenda Dunia haikuwahi kuambiwa na todate hiyo mbinu ni top top secret.
Jambo la kwanza la ajabu kabisa CIA wamelifanya nikutengeneza clip yenye kueleza kile kinaendelea Russia na kuwashawishi vijana kujiunga na CIA jambo ambalo ni lanamna yake. Video hiyo ni video inayo ongea kwa lugha ya kirusia.
Jambo lingine ambalo Dunia wameungana ni shearing ya real time secret information regarding Russian activity around the world na hii ni baada ya taarifa za siri kuvuja jamaa anasafirisha kwa siri silaha hatari za nyuklia. Na ili kuthibitisha hili hivi siku za karibu Mosssad wamegundua jambo la Siri ktk Taifa la Iran na wamejiridhisha kuwa Iran anajiandaa either pokea silaha hatari au anamalizia kutengeneza BOom hatari la nyuklia. Israel wamejibu na muda wowote kutoka sasa msishangae vita ikiibuka Kati ya Iran na Israel. Vita hii itakuwa mbaya sana ila ina malengo makuu mawili kama sio matatu.
Kuionya Urusi kuwa wanamuona na hawato acha kumjibu kwa nguvu zote. USA amesha mpa green light Israel kujiandaa na vita.
Pili kuirudisha nyuma Iran kwenye mpango wake wa nuclear
mbinu ni top top secret.
Wewe umeifahamu halafu Majasusi wa Urusi pamoja na Raisi wao hawaifahamu!!!!!!!!!!!!!!

Punguza ujuaji wa kishamba!!!!!!!!!! Yaani mahaba ya CIA, MOSSAD, MI6 n.k yamewajaa mpaka mnapoteza uhalisia!!!!!!!!

Uhalisia ni huu: Mission za kijasusi iwe za Urusi ama Magharibi huwa zinafanikiwa na kutofanikiwa!!!!!!!!!!!!
 
Dunia ni eneo la mapambano....

Mwenye akili njema huwa anajiandaa kifikra ,kisaikolojia na mengineyo muda wowote ule.....
 
Uliyoandika yote hamna tetesi wala siri, ni mawazo yako umechanganya na baadhi ya speculations ambazo ni widely available kwa wafuatiliaji mwenendo wa kimataifa.

Ni sawa na mfuatiliaji wa mpira akihisi Faisal anasukumwa na mawakala wanaoitumikia Simba ama kwa yeye kujua au kutojua kufanya hivi anavyofanya kwa Yanga, hizo ni speculations za kawaida kabisa wala anayezileta hatakiwi kusema ni siri au tetesi.
[emoji7]
 
Kuishambulia Iran itaamsha morali kwa mataifa ya Kiislam na makundi kama Hozbollah watainuka kuanza offensive attacks maana zipo taarifa za kiintelejensia kuwa yapo mataifa yanafanya mazoezi kujiandaa kwa uvamizi wakati wowote.

Iran tayari anazo silaha za nyuklia na anaweza kuzitumia muda wowote endapo busara haitotumika. Wanasayansi wa Urusi wamefanikiwa kwa siri kujenga plant ya kurutubisha urani kuwa silaha ya maangamizi hapo Iran
Waislamu wengi duniani wana uadui mkubwa na Iran zaidi ya chochote....chunguza....

Waislam wengi huwenda ni marafiki wa MAREKANI zaidi ya Iran....chunguza [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom