Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

Sasa ndugu mleta uzi hapo ni kuikomboa dunia na WW3 au kuchochea?

Katika historia hakuna vita vilivyozuiwa kwa vita
 
Reactions: Ame
Nonsense
 
Russia ikisnxa kutandikwa na mkiiona inashindwa vita mnakuja na porojo za kila namna safari kiburi cha mrudi lazima kielekkwe na Putin lazima afungashwe virago

Alivyoligema atalinywa

No retreat no surrender hiyo ndio slogan ya Ukraine
Kwa uhakika PUTIN NA WASHIRIKA WAKE WAMEYUMBA TAYARI
 
Unapenda USA apambane na Russia lakini haiwezekani Marekani na NATO kupambana na Urusi. Ya kusikitisha ni kwamba mpaka sasa dunia haijajua ni nini kinaendelea pale Kapustin Yar massive underground military base. Inakadiriwa ina ukubwa wa maili 400 za mraba. Imejengwa kuweza kustahimili mlipuko wa kombora lolote lililopo sasa duniani na la vizazi vijavyo.

Inasemekana ndio mahali penye teknolojia za juu kabisa ulimwenguni na haya yanayojulikana na NATO juu ya Urusi ni asilimia 5 na asilimia 95 yamefichwa humo Kapustin Yar.

Puttin aliwahi kusema Taifa au nchi inayotaka kupigana na Russia ijitathmini zaidi ya moja mpango wake maana zitatukika silaha ambazo toka duniani iumbwe haziwahi kufikirika kuwepo duniani. Hio ni siri iliyopo pale KAPUSTIN YAR
 
Mtu ni kichwa maji alafu unavuta bangi unategemea nini?

Bora mamaako angekubadilisha na magimbi angekula akashiba
 
Vitoto vingine bhana! [emoji1787][emoji1787]mrusi mnamchosha vipi kiuchumi?? Vikwazo mlivyoweka kwa mihemuko vimewaludia wenyewe
Usijibu kwa mahaba, fuatilia takwimu za uchumi wa Urusi kwa sasa, tena kutoka vyombo vya habari vya Urusi.

Uchumi wa Urusi unaanguka japo siyo kwa speed waliyotegemea nchi za Magharibi.

Sarafu ya Urusi nayo inazidi kuanguka baada ya mwakajana kupanda kwa kiwango cha juu kuliko sarafu zote Duniani. Hiyo ilitokana na Urusi kuyalazimisha mataifa yote yaliyokuwa yananunua mafuta na gas ya Russia, lazima yafanye malipo kwa sarafu ya Urusi.

Sasa kilichotokea ni mataifa ya Magharibi kuacha kununua mafuta na gas ya Urusi. Mauzo ya mafuta ya Urusi yameanguka kwa 41%, na hivyo hata mahitaji ya sarafu ya Urusi hayapo tena.

Mnunuzi mkuu wa mafuta ya Urusi, India, naye amewekewa masharti ma nchi za Magjaribi. Hataruhusiwa kuuza products zozote za mafuta kwa nchi za Magharibi kwa sababu zitakuwa zimetokana na mafuta ya Russia. India nayo sasa ipo njiapanda kwa sababu soko kubwa la products za mafuta ni Ulaya Magharibi.
 
Uimala wa kijeshi kwasasa, namba moja ni mrusi, namba mbili ni mchina na namba tatu ni muirani. Muizirael akianzisha vita na Iran atapigwa kama ngoma. Iran sio hamasi
Sema kuwa ungependa iwe hivyo, lakini uhalisia haupo hivyo. Uhalisia huwa haufuati matamanio ya mtu.
 
Ujasikia kuwa mafuta ya urusi, nchi za ulaya mnakwenda kuyanunulia india kwa kutoa cha juu?
 
Sema kuwa ungependa iwe hivyo, lakini uhalisia haupo hivyo. Uhalisia huwa haufuati matamanio ya mtu.
Haya weka huo uhalisia unaousema. Nakukumbusha tu kuwa nchi mbili tu duniani ndizo zinazomiliki Panasonic missiles ambazo hazina kizuizi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…