Russia's economy shrank 1.9% year-on-year in the first quarter of 2023, data from the Rosstat federal statistics service showed on Wednesday, following growth of 3% in the same period of last year.Kaangalie data za uchumi za Russia
Hakuna vita nzuri. Hao US leo ndiyo wamejiokoa kikomo cha kukopa kidogo itikiswe vibaya mno. Tusiombee vita rasmi ya Russia na NATO ni maafa kwa dunia. Russia pia tayari kautikisa uchumi wa dunia ukiwemo wa Ulaya na Marekani.🙏🙏🙏Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!
Umeshaambiwa ni tetesi.🤣🤣🤣🤣 Hizi ndoto nyingine bhana! Haya kakojoe urudi kulala
Wewe umezaliwa juzi naona. Hata hujui chochote nyuma ya wakati uliopo.Hakuna siku itatokea Israel ataivamia Iran.
Israel ni muoga mmoja tu aliyejificha kwenye mgongo wa USA na humtegemea USA muda wote.
Mtengenezaji wa silaha, anapotengeneza silaha anajitahidi iwe bora zaidi kuliko nyingine zote. Lakini uhalisia haupo hivyo, kwa sababu na wenzako wanafikiria namna ya kupambana na hiyo silaha.Haya weka huo uhalisia unaousema. Nakukumbusha tu kuwa nchi mbili tu duniani ndizo zinazomiliki Panasonic missiles ambazo hazina kizuizi chochote
Wewe naye hujui kitu kwani wanaotoa mafunzo na kukusanya madodoso ni NaniUSHOGA???
Usikute hata wewe mwenyewe ni shoga kwa sababu ushoga sio Taifa ila mtu!
Wapo warusi mashoga, wapo waislam mashoga na wakristo mashoga!
USHOGA ni mtu na siyo Taifa wala umoja wa nchi fulani, wamarekeni wapo mashoga na wasio mashoga, watanzania mashoga na wasio mashoga
Unadhani Tanzania ikiwa pro Russia ndo itaokoka na baadhi ya watu kuwa mashoga?
Umenena ukweli.Hakuna vita nzuri. Hao US leo ndiyo wamejiokoa kikomo cha kukopa kidogo itikiswe vibaya mno. Tusiombee vita rasmi ya Russia na NATO ni maafa kwa dunia. Russia pia tayari kautikisa uchumi wa dunia ukiwemo wa Ulaya na Marekani.[emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe jamaa una vichekesho sana🤣🤣🤣 Eti Ukraine wamedungua Panasonic 🤣🤣🤣. Hivi mnadanganyika au mnafanya makisudi?Mtengenezaji wa silaha, anapotengeneza silaha anajitahidi iwe bora zaidi kuliko nyingine zote. Lakini uhalisia haupo hivyo, kwa sababu na wenzako wanafikiria namna ya kupambana na hiyo silaha.
Wakati wa vita ya NATO dhini ya Slobodan Milosevic wa Yugoslavia, NATO walitumia ndege zilizonunuliwa US za latest version zilizoitwa Invisible. Ziliitwa invisible kwa sababu mtengenezaji ambaye ni US alisema haiwezi kuonekana kwenye mitambo yoyote ya radar, lakini jeshi la Yugoslavia lilifanikiwa kuidungua moja.
Urusi wanasema kuwa makombora yao ya supersonic hayawezi kudunguliwa na mitambo yoyote ya ulinzi wa anga, tayari Ukraine wameweza kulidungua moja katika matatu yaliyorushwa na Urusi.
Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system
LIVE
Open the menu

News|Russia-Ukraine war
Ukraine downs Russian hypersonic missile with US Patriot system
Air-launched ballistic missile that can reach speeds of up to Mach 10 is capable of carrying nuclear or conventional warheads.
Video Duration 01 minutes 02 seconds01:02
Published On 6 May 20236 May 2023
Ukraine downed a Russian hypersonic missile over the capital Kyiv using a newly acquired US Patriot defence system in what would be a first in its ability to intercept one of Moscow’s most modern weapons.
The Kinzhal missile is one of the latest and most advanced Russian weapons. Its military says the air-launched ballistic missile has a range of up to 2,000km (1,250 miles) and flies at 10 times the speed of sound, making it hard to intercept.
A combination of hypersonic speed and a heavy warhead allows the Kinzhal to destroy heavily fortified targets, such as underground bunkers or mountain tunnels.
Wewe jamaa una vichekesho sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti Ukraine wamedungua Panasonic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hivi mnadanganyika au mnafanya makisudi?
Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!
What about German? The european economic super power!Russia's economy shrank 1.9% year-on-year in the first quarter of 2023, data from the Rosstat federal statistics service showed on Wednesday, following growth of 3% in the same period of last year.
Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia.
Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale mwanzo ila wameamua kufanya kivingine na hii njia wanayotumia ni mbinu mpya ktk uwanja wa vita ambayo haijawahi tumika na kama imewahitumika basi uwenda Dunia haikuwahi kuambiwa na todate hiyo mbinu ni top top secret.
Jambo la kwanza la ajabu kabisa CIA wamelifanya nikutengeneza clip yenye kueleza kile kinaendelea Russia na kuwashawishi vijana kujiunga na CIA jambo ambalo ni lanamna yake. Video hiyo ni video inayo ongea kwa lugha ya kirusia.
Jambo lingine ambalo Dunia wameungana ni shearing ya real time secret information regarding Russian activity around the world na hii ni baada ya taarifa za siri kuvuja jamaa anasafirisha kwa siri silaha hatari za nyuklia. Na ili kuthibitisha hili hivi siku za karibu Mosssad wamegundua jambo la Siri ktk Taifa la Iran na wamejiridhisha kuwa Iran anajiandaa either pokea silaha hatari au anamalizia kutengeneza BOom hatari la nyuklia. Israel wamejibu na muda wowote kutoka sasa msishangae vita ikiibuka Kati ya Iran na Israel. Vita hii itakuwa mbaya sana ila ina malengo makuu mawili kama sio matatu.
Kuionya Urusi kuwa wanamuona na hawato acha kumjibu kwa nguvu zote. USA amesha mpa green light Israel kujiandaa na vita.
Pili kuirudisha nyuma Iran kwenye mpango wake wa nuclear
Wewe umeifahamu halafu Majasusi wa Urusi pamoja na Raisi wao hawaifahamu!!!!!!!!!!!!!!mbinu ni top top secret.
[emoji1787][emoji1787]Eti top secret kada ya CCM anaijua lakini ikulu ya RUSSIA & IRAN wameshindwa kuing'amua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wababe wote duniani tuko upande wa Russia na Putin wake.
Mashoga wote, na watumiaji wa madawa ya kulevya hawana uwezo wa kumshinda Urusi.
Nayo ni conspiracy ?!!! [emoji1787][emoji1787]Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!
[emoji7]Uliyoandika yote hamna tetesi wala siri, ni mawazo yako umechanganya na baadhi ya speculations ambazo ni widely available kwa wafuatiliaji mwenendo wa kimataifa.
Ni sawa na mfuatiliaji wa mpira akihisi Faisal anasukumwa na mawakala wanaoitumikia Simba ama kwa yeye kujua au kutojua kufanya hivi anavyofanya kwa Yanga, hizo ni speculations za kawaida kabisa wala anayezileta hatakiwi kusema ni siri au tetesi.
Waislamu wengi duniani wana uadui mkubwa na Iran zaidi ya chochote....chunguza....Kuishambulia Iran itaamsha morali kwa mataifa ya Kiislam na makundi kama Hozbollah watainuka kuanza offensive attacks maana zipo taarifa za kiintelejensia kuwa yapo mataifa yanafanya mazoezi kujiandaa kwa uvamizi wakati wowote.
Iran tayari anazo silaha za nyuklia na anaweza kuzitumia muda wowote endapo busara haitotumika. Wanasayansi wa Urusi wamefanikiwa kwa siri kujenga plant ya kurutubisha urani kuwa silaha ya maangamizi hapo Iran
[emoji1787][emoji1787]Hapa ni sawa sawa na kujaribu kukusanya kinyesi cha Mbu ili kifike nusu kilo.