Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mrusi anachoshwa kwanza kiuchumi halafu wababe watamalizia mchezo kirahiiisi!!!!
Mrusi yuko na China na India, Brazil na Saudi. Tangu vita imeanza ndo pesa yake imezidi kupanda value. Mlifikiri ni Zimbabwe yule?
 
Tunategemea zile sauti za kimamlaka za miaka hiyo zitarudi tena...
 
Wababe wote duniani tuko upande wa Russia na Putin wake.

Mashoga wote, na watumiaji wa madawa ya kulevya hawana uwezo wa kumshinda Urusi.
BRICS imejaa ushoga
 
Japo unapiga ramli hakuna wa kumtisha Russia.
 
Tetesi Wagner Chief is dead... Stay tune...
 
Msaliti huyu kauawa na warusi wenyewe.hakuna nchi duniani inayoweza kuwagusa warusi.nchi yenye mabomu mengi ya nuclear.
Mrusi mbona anagusika kiulaini tu wee Ni Mgeni katika dunia hii?
Ilikuwaje wakasambaratishwa na Sasa amejaribu masaa 72 airidishe Ukraine,
Kwa Akili yako Tangu aibamie Ukraine mpaka bado ni masaa 72 aliyosema ataluwa ameichukuwa Ukraine?

Mahesabu yako hivi,
Hizo silaha za Nuclear sio nyingi kuzidi mataifa yote yanayo MILIKI Aina hizo za silaha.
 
Chenga tu hakuna kitu.
 
Ilikuwa mwakajana
 
Mimi mtazamo wangu ni kwamba hiyo vita ikianza tu nchi za kiafrika ziwe zimeshajipanga kuungana na kufanya Africa kuwa nchi moja!

Mapapa wote wa dunia watakuwa wamechoka na wapo katika hali dhaifu na huo ndio wakati wa Afrika kujijenga kwa kuwa kitu kimoja! ... as it stands wazungu hufanya kila jambo Afrika tusinyanyuke, kumbuka walichikifanya kwa Gadafi na Libya yake!
 
Reactions: Ame
Iran president down support Russian 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…