Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Ukisoma kitabu cha Danieli utaona ufunuo wa lile sanamu ambalo nilikua ndio mfano wa Muundo wa Dola ambazo zitaitawala dunia,ulianza utawala wa nebukadreza ambao ulikua na nguvu na imara kama dhahabu, Ukavunjika.
Wakaja warumi walikua imara kama chuma nao wakaanguka. Sasa hivi umekuja NATO nato itaitawala dunia ila si kwa muda mrefu maana wana udhaifu mkubwa sana na udhaifu huo bibilia inasema ni muungano wa chuma na udongo yaani mataifa yenye nguvu na yasiyo na nguvu, kosa kubwa la NATO ni kukubali wanachama dhaifu, ila yote ni mkakati wa maandalizi ya ule mwisho.
Maana NATO bado haijatawala dunia kwa 100% ila lazma watafanikiwa, Mrusi machina wote hamna kitu watapotea tuu
Pindi NATO ikija kuanguka hakuna tena dola itakayoweza kusimamama maana uchumi wa dunia utakua kwenye hali mbaya na hapo ndipo mpinga kristo ataibuka, kuja kama mtu mwenye akili nyingi na atatatua matatizo mengi ya kiuchumi, atajaribu kiunga tena NATO ila hatofanikiwa ila atafanikiwa kushawishi nchi nyingi dunian ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi, kidin, kielimu, ili kunusuru dunia kwa hili atafanikiwa.
Dunia itakua kitu kimoja hakutakua tena na taifa jeuri ,hapo ndipo wakristo watakapobanwa ,na ndipo litakuja wazo la kuiangamiza Israel
Ili jamaa wataliamini dunia itajiandaa kuangamiza Israel na hapo ndipo mwisho wa dunia,maana jeshi lote la dunia litaangamizwa.
Siyo kwamba naishabikia NATO ila ukweli mchungu ndio huyo ,mrusi kamwe hataweza kuzuia UAE na chombo chake NATO kutawala dunia.
Urusi wako vizuri ila si wateule