NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]ilenda kufanya usafi kwenye hotel ya kitalii leo
 
Baraza la usalama la UN walipitisha azimio 1973 lilitoa kibali kwa NATO au muungano wa kijeshi wenye nguvu kuweka no fly zone Libya, Urusi ni wanachama wa kudumu wa baraza la usalama la umoja wa mataifa na hawakupinga hilo azimio.

Afu next time tafuta watoto wenzako wakuwadanganya, Russia hakukubali huo ufedhuli, hata Germany member wa NATO hakukuunga mkono. Walichofanya UN waliunga mkono sababu kura nyingi zilikubaliana kuweka “No fly zone” libya. Kura nyingi ziliangukia kwa hao NATO, narudi tena kwako mbona UN hawapigu kura kuweka no fly zone in Ukraine?? Tatizo ni nini?? kama Libya waliweka why not in Ukraine??
 
Kuna mdau alilitabiri hili kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine. Alisema siku si nyingi utasikia nato wanalalamika kwa Prigozin kuwa Belarus na kweli leo imekuwa. Nato imejaa na kuendeshwa na walalamishi
Unataka kuijua NATO?
Mwambie Putin aivamie Poland,member mkubwa wa NATO , ndo utaacha kuwashwa washwa
 
Kumbe yale mapinduzi ulikuwa mkakati wa kijasusi maana nilijiuliza hivi watu 8000-25000 wanatekaje moscow inayokomand jeshi la watu milioni moja? Na pia ndio jeshi la pili KWA ukubwa duniani?
 
Kumbe yale mapinduzi ulikuwa mkakati wa kijasusi maana nilijiuliza hivi watu 8000-25000 wanatekaje moscow inayokomand jeshi la watu milioni moja? Na pia ndio jeshi la pili KWA ukubwa duniani?
Mimi naamini mtu kama Putin ata kama anawaamini Wagner kiasi gani lazma aingize watu wa usalama ndani Yao wanaompa taarifa Nini kinaendelea Sasa chakujiuliza Wagner wanatoka Ukraine Hadi kusini mwa urusi hatimae Moscow yeye na kesho lake lote wake tuu wasubiri kupinduliwa kizembe na wananchi wakatangaziwa kabisa wasitoke majumbani,nazidi kuamini kabisa Prigo na Putin ni watu walioshibana sana na wameamua kucheza na akili za dunia,na kitakachokuja kushangaza ni kuona prigo anatawala pale Ukraine
 
Acha maneno dunia nzima inajua Nato ipo Ukraine na majeshi ya nchi hizo wengi wameuwa Kuanzia wamarekani na hata wafaransa nyie jidanganyeni eti Ukraine anapigana peke yake na Mrusi
Na Tanzânia anapigana na Ukraine kumuongezea nguvu Rússia ? maana
hata mwananchi wa Tanzania alikufa kwenye vita.
 
Baraza la usalama la UN walipitisha azimio 1973 lilitoa kibali kwa NATO au muungano wa kijeshi wenye nguvu kuweka no fly zone Libya, Urusi ni wanachama wa kudumu wa baraza la usalama la umoja wa mataifa na hawakupinga hilo azimio.
Libya hakuwa mwana NATO kama ambavyo Ukraine sio mwana NATO!
Basi kwa principle ile ile,US apeleke azimio UN ili NATO waweke no fly zone Ukraine!
 
Natamani NATO ihusike moja kwa moja kwrnye vita hii ili Urusi na Belarus kwa pamoja zipigwe na majeshi ya NATO ili kuipa ahueni nchi ya Ukraine.
Labda Apigwee NYOKO Yako lakini Sio Urusi 😂😂😂🙄🙄🤣🤣🤣
 
..........na nato wako makini sana wasimchokoze Russia.....

kama huwa unasikia zile kauli zao za 'to avoid a direct confrontation with Russian fed'
 
Libya hakuwa mwana NATO kama ambavyo Ukraine sio mwana NATO!
Basi kwa principle ile ile,US apeleke azimio UN ili NATO waweke no fly zone Ukraine!
Zele ameomba sana hio kitu lakini hakuna aliyemsikiliza!
ukiweka 'No Fly Zone' maana yake lazima awepo wa kusimamia hilo jambo
 
poland hii hii iliobondwa na the might russia mara tatu mpaka nne em angalia hiyo list ambayo urusi ameya vamia hayo mataifa ...[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 2673086
Aisee kumbe Urusi ni noumaa, siyo kwa kuzitandika nchi hizo zote...ndio maana Marekani + Muungano wa nchi dhaifu 30 duniani (NATO) wanaigwaya Urusi. Muungano wa nchi 30 zote upo kwa lengo la kujihami dhidi ya mbabe 1 tu
 
[emoji1787][emoji1787]

washkaji nawavulia kofia yaani toka kitambo babu wa babu yangu hajazaliwa THE MIGHT RUSSSIA hawapendagi ujinga ukileta fyokoo wana kufyetua juu chini ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…