islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]ilenda kufanya usafi kwenye hotel ya kitalii leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baraza la usalama la UN walipitisha azimio 1973 lilitoa kibali kwa NATO au muungano wa kijeshi wenye nguvu kuweka no fly zone Libya, Urusi ni wanachama wa kudumu wa baraza la usalama la umoja wa mataifa na hawakupinga hilo azimio.
Unataka kuijua NATO?Kuna mdau alilitabiri hili kule kwenye uzi wa Russia na Ukraine. Alisema siku si nyingi utasikia nato wanalalamika kwa Prigozin kuwa Belarus na kweli leo imekuwa. Nato imejaa na kuendeshwa na walalamishi
Nilona kabisa hii ni planned game ,uhaini na prigo kwenda kishkaji kabisa pale Bela na Russia wamefutilia mbali uchunguzi wa kuwachunguza Wagner na wanaingizwa kwenye kikosi Cha Rusia Moja kwa Moja ...what a game Putin ni mtu mjanja na katili sana ila amecheza na akili zao na Lengo ni kuchkua kyiv ambapo ni karibia km 400 tuu Toka Belarus
Mimi naamini mtu kama Putin ata kama anawaamini Wagner kiasi gani lazma aingize watu wa usalama ndani Yao wanaompa taarifa Nini kinaendelea Sasa chakujiuliza Wagner wanatoka Ukraine Hadi kusini mwa urusi hatimae Moscow yeye na kesho lake lote wake tuu wasubiri kupinduliwa kizembe na wananchi wakatangaziwa kabisa wasitoke majumbani,nazidi kuamini kabisa Prigo na Putin ni watu walioshibana sana na wameamua kucheza na akili za dunia,na kitakachokuja kushangaza ni kuona prigo anatawala pale UkraineKumbe yale mapinduzi ulikuwa mkakati wa kijasusi maana nilijiuliza hivi watu 8000-25000 wanatekaje moscow inayokomand jeshi la watu milioni moja? Na pia ndio jeshi la pili KWA ukubwa duniani?
Na Tanzânia anapigana na Ukraine kumuongezea nguvu Rússia ? maanaAcha maneno dunia nzima inajua Nato ipo Ukraine na majeshi ya nchi hizo wengi wameuwa Kuanzia wamarekani na hata wafaransa nyie jidanganyeni eti Ukraine anapigana peke yake na Mrusi
Libya hakuwa mwana NATO kama ambavyo Ukraine sio mwana NATO!Baraza la usalama la UN walipitisha azimio 1973 lilitoa kibali kwa NATO au muungano wa kijeshi wenye nguvu kuweka no fly zone Libya, Urusi ni wanachama wa kudumu wa baraza la usalama la umoja wa mataifa na hawakupinga hilo azimio.
Labda Apigwee NYOKO Yako lakini Sio Urusi 😂😂😂🙄🙄🤣🤣🤣Natamani NATO ihusike moja kwa moja kwrnye vita hii ili Urusi na Belarus kwa pamoja zipigwe na majeshi ya NATO ili kuipa ahueni nchi ya Ukraine.
Lengo lako ni Nini mbona unapinda pindaBRICS imeja ushoga tele, Brazil na Africa Kusini ndoa za jinsia moja zinaruhusiwa kikatiba. Ushoga sio kosa pia Urusi na China.
..........na nato wako makini sana wasimchokoze Russia.....Nato hawakuweza kuingia moja kwa moja vitani nchini Ukraine kwa sababu Ukraine mpaka sasa bado hajawa mwanachama wao (NATO).
Lakini endapi Urusi itaanzisha vita na nchi mohawapo mwanachama wa NATO basi upo uwezekano mkubwa sana NATO wataingilia kati, hata Putin analijua hili ndio maana yupo makini sana na vita yake ili asimchokoze mwanachama yoyote wa Nato kwa sasa.
Zele ameomba sana hio kitu lakini hakuna aliyemsikiliza!Libya hakuwa mwana NATO kama ambavyo Ukraine sio mwana NATO!
Basi kwa principle ile ile,US apeleke azimio UN ili NATO waweke no fly zone Ukraine!
poland hii hii iliobondwa na the might russia mara tatu mpaka nne em angalia hiyo list ambayo urusi ameya vamia hayo mataifa ...[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Unataka kuijua NATO?
Mwambie Putin aivamie Poland,member mkubwa wa NATO , ndo utaacha kuwashwa washwa
Aisee kumbe Urusi ni noumaa, siyo kwa kuzitandika nchi hizo zote...ndio maana Marekani + Muungano wa nchi dhaifu 30 duniani (NATO) wanaigwaya Urusi. Muungano wa nchi 30 zote upo kwa lengo la kujihami dhidi ya mbabe 1 tupoland hii hii iliobondwa na the might russia mara tatu mpaka nne em angalia hiyo list ambayo urusi ameya vamia hayo mataifa ...[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 2673086
Havipwiti vinafunuka, mfumo wa kupwita vilishaupita maana ndio vipaji vyao.Mwanamume kutua tu Belarus, NATO vijambio vinawapwita sasahivi mwendo wa vikao tu kama wanga
🤣🤣🤣Havipwiti vinafunuka, mfumo wa kupwita vilishaupita maana ndio vipaji vyao.
[emoji1787][emoji1787]Aisee kumbe Urusi ni noumaa, siyo kwa kuzitandika nchi hizo zote...ndio maana Marekani + Muungano wa nchi dhaifu 30 duniani (NATO) wanaigwaya Urusi. Muungano wa nchi 30 zote upo kwa lengo la kujihami dhidi ya mbabe 1 tu
mzee wa ku log off...[emoji119][emoji119]Hao jamaa ni team kulialia
Nalog off