NATO wanatishia, Urusi hatishii atavamia kweli na inaweza kutokea Vita kweli

Haha...viongozi wa Ukraine wapumbavu sana.Hii vita isingekuwepo kama hawa jamaa wangetumia akili
 
USA AKO WAPI
 
umeamini maneno ya mtoa mada, urusi kafanya kweli tayar, tupunguze ujuaji bora kukaa kimya sometimes watu wengine wanaongea kwa facts hawa kurupuki kama wewe.
 
waarabu uwatukana bure....imagine ni wewe halafu mbabe fulani anakuletea chokochoko ambayo mwisho wa siku upigane naye au usipigane naye lazima uumie tu, hapo ni bora kuchagua kupigana at least uache hata heshima.
 
Anachofanya Urusi hata Hitler alianza hivyo hivyo,mwishoe akajitanua na kuota mapembe. Kama hujui kuwa Ulaya wanalichukulia hili jambo seriously subiri uone moto wake. Nchi kama Poland, Romania,Norway na Sweden wanalichukulia kwa uzito mkubwa sana.
Nchi kama Poland,Romania,Norway na Sweden wanalichukulia kwa uzito mkubwa sana.
Haya Tayari Russia ameshaingia Ukraine,mwezi wa tatu Sasa.
Siwaoni hao akina Poland.
Achilia mbali baba lao.USA.
 
USA kwa wababe wenzake anaishiaga kubwekabweka na kukimbilia vikwazo, ila akikuta mlevi wa mataputapu anajipigia muda wowote anaoamua.
Maneno Yako yametimia Mkuu.
Vikwazo vyote vimeshawekwa.
 
Habari za siku nyingi Mkuu,
Pamoja na ushabiki wangu lakini hatimae Urusi anaendelea kumchapa Ukraine.
 
Vita tayari inaendelea huko Ukraine kama nilivyosema.
 
Uko wapi ndugu yangu.
Mbona huonekani siku hizi.
Urusi kashaingia na hao NATO wanachangishana vijisilaha na vikwazo dhidi ya Urusi.
"NATO mpenzi wangu mpenzi wangu mbona hutokei"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…